mobile user must visit this topic

unaweza fanya option hizi

1) usubirie sa 5 usiku utumie airtel

2) jiunge airtel boom club

3) tumia trick za voda both pc na mobile zipo humu jf
 
Ebwana shukrani sana, kuna series (24) niliishia katikati nilishakata tamaa ya kumalizia season 8, lakini kwenye fztvseries kuna kila kitu, big up mkubwa,kwenye iphone AVI format inagonga kama kawaida.
 
Mkuu Mm player hyo ya Kwanza nataka Kuidownload Ila Wameniwekea Lugha Ya Russian !!! msaada... then kama kuna player ya simu inaweza kuplay .kmv na .webm msaada na hzo pia!!!!
 
Mkuu Mm player hyo ya Kwanza nataka Kuidownload Ila Wameniwekea Lugha Ya Russian !!! msaada... then kama kuna player ya simu inaweza kuplay .kmv na .webm msaada na hzo pia!!!!

mkuu kama umesoma vizuri kwa mbele metoa instruction click Скачать kudownload.

Ni .kmv au mkv? Nafkiri coreplayer inaplay webm sina uhakika
 
Naomba msaada, je game la drafti linaitwaje? Pia wapi naweza kulishusha zima kwa ajili ya Nokia E61i. Nasubiri msaada wako.
 
.webm imeshndwa kusoma mkuu!! hata total conveter ya kwenye pc yangu anakataa ku convert!! Cjajua n kwa nn????
 
baada ya kuona watu wapo aware now na masuala ya internet naandika hii post kuwasaidia watumiaji wa simu kuweza kupata kile anachokipata mtu wa pc

MASUALA YA MOVIES
Kwa wale wenye bundle za kutosha unaweza kudownload movie katika website hizi
1) mobiles movie (best)
2) mobiles movie 2
3) 3gpmobilemovies

4) o2cinemas

Simu nyingi zinaplay video format ya 3gp au mp4 na sio format ya .avi website mbili za kwanza video zake zipo format ya .avi so ili uziplay inabidi uwe na player kama huna jaribu player hizi hapa
1) core player - hii ndo best player ya simu ikisuport codec nyingi na format kama .avi .3gp .mp4 .mp3 .aac .wav unaweza kuidownload hapa
coreplayer download click ckayat kudownload

2)smartmovie - hii ni player nzuri pia yenye function kama za coreplayer ni ya kununua na kama unataka cracked version inabidi uwe na self signer

3) divx - mobile version ya player maarufu ya pc inayoitwa divx nenda website yao mobile divx register account then download ni bure kabisa.

MOBILE TV SERIES:
Baada kuona jinsi ya kupata mobile movies now tujifunze jinsi ya kudownload tvseries ntawapa website moja itayokidhi mahitaji yako yote
1) fztvseries - u cant believe hawa jamaa wana tv series maelfu kwa maelfu kwa ajili ya simu ni bureee kudownload tena wana aina tatu za video 3gp, avi na mp4 i hope utaipenda

MOBILE GAMES
Najua utashangaa hapa sizungumzii website maarufu kama waptrick wapday au download wap nakupa website za kitaa zilizotengenezwa local ila cha muhimu uwe unajua screen resolution ya simu yako

Kujua screen resolution ya simu yako visit hapa check screen resolution

Website kali za game za simu ni
1) games gameloft
2) gameloft zero
3) wap-gamesclub
Ndani ya website hizi utakidhi mahitaji yote wanaupload games mpya kabisa

kama kutakua na link mbovu mtanambia nirekebishe. Kwa wale wasio na free internet kwa simu anytime ntaeka topic

thank you soooooo much
 
unaweza fanya option hizi

1) usubirie sa 5 usiku utumie airtel

2) jiunge airtel boom club

3) tumia trick za voda both pc na mobile zipo humu jf

mkuu chief-mkwawa trick za voda kama sijazisoma nimezicheki kama sijaona ivi naomba link.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom