mobile user must visit this topic

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,689
39,757
baada ya kuona watu wapo aware now na masuala ya internet naandika hii post kuwasaidia watumiaji wa simu kuweza kupata kile anachokipata mtu wa pc

MASUALA YA MOVIES
Kwa wale wenye bundle za kutosha unaweza kudownload movie katika website hizi
1) mobiles movie (best)
2) mobiles movie 2
3) 3gpmobilemovies

4) o2cinemas

Simu nyingi zinaplay video format ya 3gp au mp4 na sio format ya .avi website mbili za kwanza video zake zipo format ya .avi so ili uziplay inabidi uwe na player kama huna jaribu player hizi hapa
1) core player - hii ndo best player ya simu ikisuport codec nyingi na format kama .avi .3gp .mp4 .mp3 .aac .wav unaweza kuidownload hapa
coreplayer download click ckayat kudownload

2)smartmovie - hii ni player nzuri pia yenye function kama za coreplayer ni ya kununua na kama unataka cracked version inabidi uwe na self signer

3) divx - mobile version ya player maarufu ya pc inayoitwa divx nenda website yao mobile divx register account then download ni bure kabisa.

MOBILE TV SERIES:
Baada kuona jinsi ya kupata mobile movies now tujifunze jinsi ya kudownload tvseries ntawapa website moja itayokidhi mahitaji yako yote
1) fztvseries - u cant believe hawa jamaa wana tv series maelfu kwa maelfu kwa ajili ya simu ni bureee kudownload tena wana aina tatu za video 3gp, avi na mp4 i hope utaipenda

MOBILE GAMES
Najua utashangaa hapa sizungumzii website maarufu kama waptrick wapday au download wap nakupa website za kitaa zilizotengenezwa local ila cha muhimu uwe unajua screen resolution ya simu yako

Kujua screen resolution ya simu yako visit hapa check screen resolution

Website kali za game za simu ni
1) games gameloft
2) gameloft zero
3) wap-gamesclub
Ndani ya website hizi utakidhi mahitaji yote wanaupload games mpya kabisa

kama kutakua na link mbovu mtanambia nirekebishe. Kwa wale wasio na free internet kwa simu anytime ntaeka topic
 
Mkuu, rekebisha topic yako hizo website uziweke kama link ili kumsaidia anayetumia simu aweze kwenda moja kwa moja kwenye web/wap site atakayotaka kwa ku-click mfano kama hii Mobile Movies
 
Chief Mkwawa asante sana for ur consideration to mobile users. Uncle Rukus nawe pia asante kwa kujazia nyama kwenye thread.

Tunakusubiria The Chief uweke mambo.

Thanks!
 
mkuu mkwawa tangu niijue website hii ya series nipata matatizo ya kuto ku download nimejaribu kubadilisha browser,sim lkn ujumbe huu unakuja
Precondition Failed

The precondition on the request for the URL /index.php evaluated to false.
 
Hahaha kumbe hivo?? Skia hilo ni tangazo wameeka but wamekosea so hio ni warning code erroorr we shuka chini utaona link ya kudownload.
 
Hahaha kumbe hivo?? Skia hilo ni tangazo wameeka but wamekosea so hio ni warning code erroorr we shuka chini utaona link ya kudownload.

mkuu najua lakn ukisha shuka chini kwenye go to download inafungua kurusa nyiingine. alafu hamna link yeyote ile isipokuwa ujumbe huo na kurudi home.au tangazo la jesus
 
mkuu najua lakn ukisha shuka chini kwenye go to download inafungua kurusa nyiingine. alafu hamna link yeyote ile isipokuwa ujumbe huo na kurudi home.au tangazo la jesus

Kuna alternative 3 za kudownload either avi au 3gp au mp4 kama avi imekataa jaribu 3gp zipo style hii link zao

Merlin-s04-e13.gaghdj.avi
(ss) (3gp) (mp4)

Sasa wewe usiclick hilo neno merlin jaribu kuclick 3gp au mp4 utaona neno your file is converted go to download click then itafunguka page utaona sehemu meandikwa click here to download paclick then ur done
 
asante mkuu,lkn tatizo bado lipo kwenye 3gp na mp4.maana tangu niijue hi site nilikuwa nakazania 3gp na mp4. lkn hazikubali sahv nimejaribu avi inakubali.sasa sijuwi tatizo nini .lkn si mbaya ata avi ujumbe utafika.
 
Chief tusaidie youtube video setting streaming on nokia c1-o1 uki watch ina andika no respose natumia airtel na voda intanet plz
 
Chief tusaidie youtube video setting streaming on nokia c1-o1 uki watch ina andika no respose natumia airtel na voda intanet plz

Tumia website hii

vuclip

Ina video zote za youtube sema utakua hustream unadownload.
kama huamini jaribu kusearch nyimbo ya mpoki genge shop ndo utaona vuclip ni noma
 
Ahsante kwa hizo link, swali moja: vipi kupunguza gharama za kushusha hizo? (bandwidth charges).
 
Back
Top Bottom