Mobile sms tigo to vod deliver to airtel

Jewel

Senior Member
May 1, 2008
176
62
Assalam alaikum wana jamvi nawatikieni ijumaa kareem na mfungo mwema wa ramadhani unaokuja,tafadhali naomba nipate jibu la swali langu jana nimetumiwa msg na line ya tigo kwenye simu yangu ya voda lakini ch ajabu msg hiyo imekwenda kwa mtu mwingine ninaye mfahamu kwenye line yake ya airtel nini kitakuwa kimefanyika ? Au ame huck cm yang/ au kuna tech imekuja ? Please msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom