Mobile phone spying software

kama mtu unampenda si muaminiane tu based on love and trust.
Kuna haja gani ya kuishi na mtu and then kuanza kum-track kwenye simu, e-mails, GPS etc???????
 
Unaonekana wewe unadhanispying phone ni kwa ajili ya wawili wapendanao tu.

Hope unaelewa neno "spy"

  • waandishi wapelelzi wanatumia nyenzo kama hizi kudaka siri za viongozi na watu marufu

  • Polisi wanaweza kutumia kufanya uchunguzi fulani forensic

  • Vyombo vya usalama vinaweza kutumia mbinu huu kufutilia nyendo(Tracking) za watu amabo ni tishio kisiasa,kitaifa

  • Hata wewe hapo unapofanya kazi unaweza kukuta sms unayoandika copy inakwenda sehemu fulani. Siku ukimwaga mboga na wao wanamwaga chakula. teh teh teh teh ( Kuna ofisiau kmapuni zina track mawasiliano eg simu na email ya wafanyakazi wao wakiwa ofisini)
Haya mambo ya spying communication ni zaidi ya mahusiano ya mapenzi.
 
Kweli hii ni nzuri na ikon kitaalam zaidi.wanaolipinga wameliangalia kwa karibu sana,mi nalihitaji hili ten a kwa baraka na ni kwamaendeleo,nip mwanga zaidi
 
Hivi kuna sehemu naweza pata Symbian3 free software ambayo itatuma taarifa kwa specific number in form of sms let say kila baada ya muda fulani? Hii ni security nzuri in case simu yako imeibiwa :coffee:
 
cheki software iitwayo wavesecure
 
VIEW CONTACTS LIST
READ TEXT MESSAGES (SMS)
VIEW CALLS MADE / CALLS RECIEVED
SET THE TARGET PHONE TO CALL YOU WHENEVER IT MAKES OR RECEIVES A CALL
VIEW PHOTOS
MANY MORE FUNCTIONS

Tembelea hapa.
ULTIMATE MOBILE PHONE SPY 2009 PLATINUM EDITION
imekaa kiutapeli zaidi..............
software zote genuine hutoa trial for a certain period of time or limited number of calls before purchasing for full operating features..sasa hao wanataka mshiko tu! how can you prove that it is working...worse enough wanasema kwa kila aina ya simu...mmhh hata nokia tochi au mchina? i doubt
 
Unaonekana wewe unadhanispying phone ni kwa ajili ya wawili wapendanao tu.

Hope unaelewa neno "spy"

  • waandishi wapelelzi wanatumia nyenzo kama hizi kudaka siri za viongozi na watu marufu

  • Polisi wanaweza kutumia kufanya uchunguzi fulani forensic

  • Vyombo vya usalama vinaweza kutumia mbinu huu kufutilia nyendo(Tracking) za watu amabo ni tishio kisiasa,kitaifa

  • Hata wewe hapo unapofanya kazi unaweza kukuta sms unayoandika copy inakwenda sehemu fulani. Siku ukimwaga mboga na wao wanamwaga chakula. teh teh teh teh ( Kuna ofisiau kmapuni zina track mawasiliano eg simu na email ya wafanyakazi wao wakiwa ofisini)
Haya mambo ya spying communication ni zaidi ya mahusiano ya mapenzi.

Haikuwekwa wazi kwenye mada hapo juu.
Kuna sababu za msingi kama ulivyonena.
 
imekaa kiutapeli zaidi..............
software zote genuine hutoa trial for a certain period of time or limited number of calls before purchasing for full operating features..sasa hao wanataka mshiko tu! how can you prove that it is working...worse enough wanasema kwa kila aina ya simu...mmhh hata nokia tochi au mchina? i doubt

Uko sahii hawa ni wasanii wa kuiba credit card info za watu.
 
VIEW CONTACTS LIST READ TEXT MESSAGES (SMS) VIEW CALLS MADE / CALLS RECIEVED SET THE TARGET PHONE TO CALL YOU WHENEVER IT MAKES OR RECEIVES A CALL VIEW PHOTOS MANY MORE FUNCTIONS Tembelea hapa.
This mobile spy seems functional, is it like a keylogger for computer? I'm not familiar with software, but what you said attracts me.
 
NI RAHISI SANA KAMA UNAETAKA KUMPELELEZA ANATUMIA IPHONE.... AU SIMU YOYOTE INAYO TUMIA 'OS' YA ADROID...... UNAAINGIA kwenye markert una download kitu kinaitwa phone control ni bure... halafu unafuata maelekezo.... ukisha maliza unampa simu aendelee kutumia.

toka hapo utakua unapata SMS zake zote.... na location na n.k...katika mail box yako...... kazi kwako ! kama hana iphone mnulie ya bei rahisi and then unakua umemaliza..
NB: Hii application inakua inafanya kazi back ground ..... hawezi ifuta hata akifanya master reset itamdai pin code.....
 
Back
Top Bottom