mobile operating system upgrade

Timoso

Senior Member
May 27, 2012
135
23
Wadau nijuzeni ni vipi naweza ku-upgrade os ya simu kwenda version ya juu kdogo. Nijuzeni kama kuna softwares zinazotumika, link nnapoweza kuipata na madhara yanayoweza kujtokeza kwa process nzima. Shukran wakuu
 
umekuwa very vague. kuna OS nyingi za simu, wewe unataka ku upgrade vipi. lazima ueleze aina ya OS ya simu yakopm kwasababu ukisema hata symbin kuna aina nyingi za symbian na each ina protocols za ku update
 
sorry mkuu ni android 2.3.6
 
dah yani hapo mkuu inabidi useme aina ya simu maana operating system za simu zipo nyingi
 
sorry mkuu ni android 2.3.6

hapo sawa kabisa. android 2.3.6 ndo ilikuwa update ya mwisho ya *gingerbread* na baada ya hapo walileta *ice cream sandwich* ambayo ndo inaanza 2.4.0
base build ya ice cream sandwich inafanya uwezekano wa any 2.3 base system upgradable to it but the cost of updating a software on an older phone is usually done at a loss to a company as old smartphones sales decrease inadvertently
au kwa kifupi, kama huna latest android phone (kama galaxy SII) hata kama kuna uwezekano wa kuwepo na upgrade ya hiyo phone kwenda 2.4, kampuni iliyotengeneza hiyo simu itakuwa haijatengeneza 2.4 version ya hiyo simu yako, na ni mpaka usubiri *pirate developers* kama cyanogen watengeneze ya *kinyumbani*
kwa kukusaidia zaidi, post model ya simu yako nitakwambia kama kuna official firmware
 
Chek pm mkuu.
 
tofaut kubwa hasa ya gingerbread na icecream sandwch ni nn?? au uwezo wa kuingiza apps nyingi zaidi?? cz i av heard smthn lyk that.
 
Mkuu leh gingerbread ya mwisho ni 2.37 na Ice Cream Sandwich ni 4.x
 
android bwana mara sandwich mara ginger sasahivi utasikia android ital pizza
 
wanadau nina samsung pro y duos ......ina run ginger bread 2.3.6.....kuna uwezekamo nikaiupgrade to ice cream sandwich
 
Wakuu tusaidiane basi apo kwenye ku-upgrade. na wengine 2nataka fanya io ki2.
 
Hebu check majna yao! Walianza na Froyo wakaja na Gingerbread wakaja na Honeycomb ikafuata Ice
Cream Sandwich sasa wametuletea Jelly Bean bado watakuja na pizza au sausage... Wakipata madeveloper from tz ndo tutapata hzo matoke and makande..,
 
Dah umunfurahsha kweli mdau.. Labla wanataka kutuvutia wateja. ol in ol so funny
 
Sijapata majibu wakuu
nisamehe sana sana tu mkuu I forgot kukujibu. kesho nitakuwa na free time ya kutosha, nitakuba majibu ya kuridhisha, kwa sasa nataka nikamalize ligi yagu pale PES 2012, nataka nimalizane nayo si mnajua 2013 kesho kutwa tu :biggrin:
 
android 2.3.6

kwa sasa the only upgradable android phone kwenda kwenye Ice cream Sandwich (ICS) ni SGS II i9100, even Samsung galaxy SII i9100G is non-upgradable....nyingi upgrade zinategemewa kufika October 2012, especially Africa,kwani The Jelly Bean pia zinatoka kwa awamu katika mabara mbalimbali duniani, ingawa sehemu nyingine zishatoka.

Update za manually zinafanyika at user's risk, kuna watu wawili ambao their phones went black hadi sasa during the manual update walikuwa wakitumia SGS II i9100G...so, ni vyema kuisubiri ICS for Africa in October, au pitia katika forums za Androidadvice mkuu.
 
sijawai ku brick phone na nimeanza kujifanyia manual upgrading and hacking miaka mingi tu. sio kwamba namshawishi mtu ila manual updates and jail breaks are fairly easy and its very hard to brick modern phones. hao waliobrick zao wana shida zao. na hata ukibrick android ina system recovery moja tamuy mno, two secs unarudisha simu back to default firmware
 
Back
Top Bottom