Mobile 4n ni chanzo cha kutoelewana

Garmii

Senior Member
Feb 26, 2011
164
19
Wana JF nimekuja na mada nyingine kuhusu hizi cm zetu za mikononi, binafs nataman niachane na cm kwn ndio chanzo cha mgongano na my wife! Mke wangu kila nikirud kutoka kazn lazm akague cm zangu je hii ni sawa?kina dada hata ninyi ndivyo mnavyofanya kw waume zen au maboyfriend wenu?msaada pls tuwekane wazi kwa hili.
 
Ume mjengea mazingira ya kuto kukuamini ndo maana!
 
dah!anakagua ili aone ulizopigiwa na ulizopiga?msgs?!!!!!!!so wat?kujitaftia stress,,,vinginevyo uko sawa hizi cm hiyo ni mojawapo ya hasara zake
 
Ni kweli simu zinachangia matatizo katika mahusiano, lakini kama mnaaminiana simu sio tatizo kubwa!!!
 
hajafundwa huyo na kungwi wake?? mwanamke aliyekamilika hagusi simu ya mumewe hata siku moja!

hata mie siwezi kugusa simu ya mtu wangu hata siku moja!!!
 
hajafundwa huyo na kungwi wake?? mwanamke aliyekamilika hagusi simu ya mumewe hata siku moja!

hata mie siwezi kugusa simu ya mtu wangu hata siku moja!!!

Atiiiiiii???
Mwanaume anaempa mwanamke wake sababu ya kutomuamini ndo anaegusiwa simu yake.

Na wewe mtoa mada una wasiwasi gani???Kama hujafanya chochote kibaya mpe tu....mwisho wa siku atazoea na kuacha!!
 
kwani sim ni ya watu wanga?
 
Mambo yanakwendaje baada ya sakata la MSG?
Ukitaka amani usihangaike na simu ya mwenzako maana hata ukiona jina la mdada/mkaka kwenye phone book ni tatizo
 
Kama ndoa imewafanya wamoja basi ni yao wote....siri za nini kwenye ndoa?
Yaani hii ishu ya simu kama mtu haujiamini basi lazima utakuwa mkali simu yako ikitaka kuguswa lakini kama najijua ninachofanya na simu yangu sina wasiwasi nampa tu akiitaka ninakuwa sina wasiwasi unless otherwise uwe na vimeo vingine ndio lazima utakuwa mkali simu yako ikiguswa
 
Si ndo hapo.....watu wanaishi kwa wasiwasi utadhani Osama!!
 
Si ndo hapo.....watu wanaishi kwa wasiwasi utadhani Osama!!
Wewe subiri utasikia watu watavyokuwa wanaji-defend hapa sijui simu ni ya mtu mmoja kuna wengine simu ikiita atatoka mbio utafikiri yuko kwenye marathon ili mradi tu simu yake isiguswe na mtu mwenzake
 
Ukiwa huna mambo ya ajabu huwezi kuficha ficha simu yako.
Kuna watu simu zao wana misekyurit kodi laki tisa!
 
Wewe subiri utasikia watu watavyokuwa wanaji-defend hapa sijui simu ni ya mtu mmoja kuna wengine simu ikiita atatoka mbio utafikiri yuko kwenye marathon ili mradi tu simu yake isiguswe na mtu mwenzake

Hao ndo wale wanaDOA!!!Mi mtu asiye na wasiwasi wala si hangaiki na simu yake....hata nikiazima nitumie nafanya kile nnachohitaji tu basi.
 
Kwakweli migogoro mingi siku hizi katika mahusiano ya kimapenzi ni kwa sababu ya simu. Cha muhimu kama umeoa, hakikisha simu yako haina msg za vimeo muda wote, vinginevyo ni migogoro tu. Mfanye mkeo akuamini na pia lazima ufahamu kuwa anaisoma simu yako hata kama ni usiku wa manane ukiwa umelala yeye atasoma tu msg zako zote.

Kwa upande wa pili, simu ni kigezo muhimu sana katika kujua uaminifu wako kwa umpendaye, mara nyingi, kama si mara zote, mtu ambaye hataki simu yake ishikwe na mkewe/mmewe ujue lazima uaminifu wake unadosari, kuna wengine wanadiriki kuiwekea password ambayo mke wake haijui. So, kama unampenda wife wako, mpe uhuru kwenye matumizi ya simu yako.
 
Atiiiiiii???
Na wewe mtoa mada una wasiwasi gani???Kama hujafanya chochote kibaya mpe tu....mwisho wa siku atazoea na kuacha!!
mambo ya kukosea ktk call/text ni ya kawaida, basi ije itokee mko pa1 na huyo mke wako then litokee hilo... utaliona sakata lake. ajaribu kumuachisha tabia hiyo awezavyo
 
Kama ndoa imewafanya wamoja basi ni yao wote....siri za nini kwenye ndoa?

pia ndoa siyo fursa ya kuwa mpekuzi. kila kitu kina njia zake ktk kukifuatilia lkn ya huyo waifu wake si nzuri. kama ni mm ninayesachiwa hivyo, kila siku nitafuta matukio yote ktk simu yng kumuonyesha tu kama siipendi tabia yake.
 
Back
Top Bottom