Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
kwikwikwikwikwiiiiii...wewe mchokozi sana. ina maana unataka kusema GT naye ka plagiarize hiyo picha? lmaooooooooo
In simple words hajaplagiarise, Ndiyo tulivyo!
kwikwikwikwikwiiiiii...wewe mchokozi sana. ina maana unataka kusema GT naye ka plagiarize hiyo picha? lmaooooooooo
Nilipokuwa Europe nilijifunza kwa lugha ya wenyeji wangu. Na kuna vitabu niliamini kuwa ma-profesa wangu wametunga lakini baada ya kuja viwanja nikakuta jamaa wali-copy tu.
Ukweli wa mambo wachangiaji humu na wakazi wa nchi kama zetu hakuna watakachoandika kipya.
Ningependa waTanzania mjifunze kucopy na ku-paste vitu vya maana. Kila siku mnawasifia waChina. Lakini wanachofanya ni copy and paste na hawaombi msamaha kuladeki.
Kama kuna mtanzania anayeweza kufanya plagiarism na kutuletea blue-print ya Mtambo wa Nyuklia ningempa tano. Maana tuna shida ya umeme.
Thanks God mbunge wetu anajua this is crime, angekuwa Makamba pengine angejibu ''sasa kwa nini wameweka kwenye internet''
Hata Obama alikopi akasahau kucite, kwa hiyo siyo big deal.
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa kuchukua info ya article hiyo basi my sincere apologies to them na kosa halitarudiwa sawa wadau........I would try to cite in future articles....lakini kikubwa ni mada na Tatizo nililokuwa nazungumzia
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika
Ninarudia kwa wale waliokuwa offended na my articles please i offer my sincere apologies kwa sababu sikucite hiyo references....but my intentions were to highlight the problem throughout Africa and propose the solution....
Mo
Dah, Dewji ameingia choo cha wanawake na amjisaidia kwa style ya kike!
We mshamba!, what does wanawake got to do with this?
Kumbuka umezaliwa na mwanamke!
SHAME ON YOU!, MSHAMBA MKUBWA WE, MTAENDELEA LINI? KHA!
Dadangu wala usikasirike, kama Mo angekuwa mwanamke, basi msemo ungebadilika na kuwa Mo ameingia choo cha kiume!!! ,
Nothing personal... according to the "Boss"
bluraynilkienda deeper zaidi ya hii incident, nikiangalia trends na concepts, mo ni part ya uongozi wa kidanganyifu na hii plagiarism ni tip of the iceberg tu, ni part ya uongozi mzima uliozoea fraud, unaoweka umuhimu katika the appearance kuwa tunafanya kitu kuliko kufanya kitu. ndio uongozi huu huu ulioiba kura certainly zanzibar na kumrudisha komandoo kwenye power illegally - wakuu wa usalama wenyewe wameniambia hili, halina mjadala kwa wanaojua, baba nyerere, the mantle of decency bongo, alii rape democracy tanzania- sasa unategemea nini kutoka kwa mo.
Ndugu yangu inawezekana hiyo kazi alimpa mtu amwandalie na kuja kuiweka kwenye mtandao kwa ajili ya kutangaza blogu yake kama sijakosea
While you all;
Home boy is doing higher level plagiarising ohoooo
Oh noo he didn't! This a bit infra dig for him to be getting low like that...
Oh noo he didn't! This a bit infra dig for him to be getting low like that...
Ooh yes he did!!
I dunnoh, dont you think that is being down with the people?