Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni; Bravo JK

Sisi wote tunaona, tunasikia na tunatafakari, hebu nieleze ni wapi katika hotuba ya Mh. Rais amesema kuwa amewasamehe waliohusika na wizi wa fedha za EPA? Alichosema kuwa amewapa hadi Novemba 1, kuwa wawe wamerudisha hizo fedha na hayo yamo katika ushauri aliopewa katika report ya wasaidizi wake yaani ya akina Mwanyika. Kama ambavyo nimeeleza hapo awali kuwa si kila kitu kilichomo ndani ya ile report aliyokabidhiwa Mh. Rais ni kwa ajili ya matumizi ya Public. Kama sisi ni waelewa wazuri hatuna budi kuiona kazi nzuri iliyokwisha fikiwa hadi sasa. Hajasamehewa mtu kwa mujibu wa ile hotuba, kama ulifuatilia vizuri hati zao za kusafiria zimeshikiliwa ikiwa ni pamoja na vitu vingine. Maamuzi ya Rais juu ya EPA bado yapo katika awamu za utekelezaji, tusubiri baada ya Novemba 1.

Tumpongeze Rais wetu baada ya Novemba 1. Utekelezaji utakapokuwa umekamilika na wezi wamefikishwa kunakostahili. IMF wamemtia moyo tu.
 
Quote:

Last year, for instance, the Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja, told the parliament that during the period between 2001 and 2006, Tanzania produced gold worth $2.6 billion (Tshs3.38 trillion), but the government earned only $78 million.


In simple arithmetic, this is just 3 percent of the total revenues generated from thousands of tonnes of gold produced in the Lake Victoria gold belt. It also shows that the government earned an average of $13 million annually during that period from the multibillion industry whose real investments currently is valued at $2.5 billion.
 
Quote:

Mwakyusa:Natafakari ushauri wa kujiuzulu

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa, amesema ushauri wa kutakiwa kujiuzulu kufuatia matatizo yaliyojitokeza ya watoto kuzirai baada ya kupewa dawa za chanjo ya kichocho na minyoo, amelipokea, lakini bado anautafakari.
 
1
. Pundamilia07 Re: Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni; Bravo JK

2.
Quote: Originally Posted by Pundamilia07

I am trying to figure out Mh. William Ngeleja alipewa lini dhamana ya kuongoza Wizara ya Nishati na Madini

3.
Quote: Mr. Zero

It doesn't matter who was there!! The fact here is JK's goverment has not done anythis about it. Tatizo la msingi hapa JK na circle yake wanatudanganya kila kukicha na WaTZ kama wewe na mimi bado tumeridhika.

Kaaaaazi Kweli Kweeeeeli!
 
wewe Punda wewe,
Bila shaka hupo Bongo na kama upo Bongo basi hufauatilii taarifa. Said Mwema alisema on TV kwamba nchi imetekwa na mafisadi. Halafu you sound very arrogant. Why??? lazima umetumwa tu!!!!
 
wewe Punda wewe,
Bila shaka hupo Bongo na kama upo Bongo basi hufauatilii taarifa. Said Mwema alisema on TV kwamba nchi imetekwa na mafisadi. Halafu you sound very arrogant. Why??? lazima umetumwa tu!!!!


How did you know kwamba nimetumwa?
Ondoa hisia ambazo si za kweli kwani zitakufanya usiwe na uwezo wa kujenga fikra chanya.
Hata hivyo nina kuhakikishia kuwa mimi sijatumwa.

kuwa arrogant hilo siwezi kukusemea kwani kila mtu ana mtazamo tofauti katika kufanya judgment.
 
kichuguu,

Niongezeni na mimi humo kundini kwa sababu naamini sifa haitolewi hovyo kama karanga halafu eti kwa asiyestahili kama JK. Anayethubutu kufanya hivyo siyo tu anajishushia hadhi mwenyewe bali analishushia hadhi neno sifa. How sad!!

Na mimi niongezeeni kwenye familia ya wasioona mafanikio ya hii serikali! Ninaona majinamizi tu!! Yaani Jeetu awe ulaya na pasport yake iwe imekamatwa bongo!! Walikamata passport ipo ya TZ au UK!!!!!!
 
Na mimi niongezeeni kwenye familia ya wasioona mafanikio ya hii serikali! Ninaona majinamizi tu!! Yaani Jeetu awe ulaya na pasport yake iwe imekamatwa bongo!! Walikamata passport ipo ya TZ au UK!!!!!!

I am sorry mimi situnzi familia ya wale wasioona mafanikio ya serikali hii. Nimetoa pongezi kwa Mh rais jinsi alivyo handle vizuri issue ya EPA kama kiongozi wa taifa.
 
Nahisi mafisadi watakuwa wamefurahi na kwa kweli ni lazima wampongeze fisadi mwenzao na najua watahamasisha na maandamano ya kuunga miguu na vidole hotuba, lakini bado tutaendelea kuwaambia ukweli kwamba iko siku watalipa tu.
 
Bubu ataka kusema,
Wewe siyo msemaji wa 'Watanzania wengi' hizo zako ni hisia tu na ambazo hazijengi hoja ya nguvu katika majadliano. Ukweli unabaki kuwa JK amefanya kazi yake vizuri na anastahili pongezi kwa hilo. Tatizo ambalo amelitatua ni tatizo la nchi na wala siyo tatizo lake binafsi. Huenda wale ambao haitakii mema nchi yetu walitaka kuona kuwa suala EPA haliishi na liendelee kuwa ni ajenda kila kukicha, tutafika kweli? JK is smart and Intelligent!

We punda
Kama unaona JK ni smart na intelligent kwa haya aliyoyafanya, basi Tanzania haina viihiyo wala mataahira.
 
I am sorry mimi situnzi familia ya wale wasioona mafanikio ya serikali hii. Nimetoa pongezi kwa Mh rais jinsi alivyo handle vizuri issue ya EPA kama kiongozi wa taifa.

Sasa kafanya nini kizuri katika EPA! Kusema kakamata passport wakati watu wanasafiri bado!!!! Wanasafiria za bandia au? Kakufurahisha wapi wewe wakati anashughulikia suala la jinai kama vile la madai!!!!!!! Ikifika November akawapeleka mahakamani wahusika kwa kesi ya madai kutakuwa na tofauti gani na kesi za akina manji na mengi, au mengi na ze comedy, au mtikila na wengineo wanaodaiana mabilioni huko mahakamani!!!!! Zuri liko wapi sasa! Yaani, umetumwa-umetumwa na kama hujatumwa basi wewe ni jamii ya akina Kigunge!
 
grrr yani nyumbani kwako watoto wamevaa nguo zimechanika,wana njaa na nyumba ni mbavu za mbwa,hali ya hapo inatisha na kila siku unacheka cheka unawaambia msihofu eeeh nipeni muda mambo yatakuwa mazuri. Ukienda kujiweni unasema aah kwangu mambo mazuri sanaaa, basi kijiwe kizima kinakusifu aisee we kiboko wa kutunza familia. Jirani yako ilhali akijua kabisa wanao wana njaa na nyumba yavuja anaenda nae kujiweni kusema aisee mzee wa jirani mambo yake safi?
does it even click on ones mind hali yetu ilivyo,shillingi yaendelea kuanguka,mafuta juu, rushwa ya viongozi juu, wezi wanafichwa. Hivi kuna asieona? wakati mwingine nahisi akili zetu hazina akili basi.Au tukiona tope tunaona ni chocolate cake?
What a wastage of resources and time kufanya maandamano kuunga mkono hotuba? hata kijana wangu wa form 1 aliuliza mbona sisi wajinga?
Nashindwa kabisaa kuelewa nini hasa kilikuwa special kwenye ile hotuba? eti kafanyaje?ooh punda just spare my breath, u know very well whats cooking? you know very well the money revolves among them, huyo huyo anayetangaza nawapa hadi novemba knows exactly kuna nini? tusipende kupotosha umma,amehandle vema wakati ukata wa maisha unazidi.
kweli tunahitaji uamko wa fikra otherwise tupo kama brainwashed vile.
 
Nasikia hotuba ya KIKWETE ina makosa na hivyo inabidi irekebishwe. Sasa hata haya ya EPA unaweza kukuta yanamakosa. Wanaokaa na kusifu kazi ya Kikwete kwa hili wakati HOTUBA INAMAKOSA, wanafikiria sawasawa?
Duuu, nilifikiri PUNDAMILIA SI PUNDA.

NB: Niongozeni kwenye listi ya watu wanaoona Muungwana hajafanya kitu na EPA.
CCM inatembeza U-SODOMA, inatulaaa!!! Mafisadi na Wawekezaji nao kwa sana tu.
 
Back
Top Bottom