mnyika

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
kwako muheshimiwa john mnyika, nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya, lakini nakuomba upunguze kuomba miongozo bungeni na ujikite zaidi kayika kututetea watu wa ubungo tuliokuweka hapo, huku maji tabu na barabara haswa za kibangu hazipitiki, tunakuamini tafadhali usifanye kama keenja kwani 2015 sio mbali. kamilisha ahadi zako tafadhali
 
Yaani huyu dogo hata mimi simwelewi kabisa. Sijui plan yake ni nini!
 
anatuangusha wana ubungo kwa kweli, hakuna tofauti yoyote kati yake na alipokuwepo keenja
 
kwako muheshimiwa john mnyika, nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya, lakini nakuomba upunguze kuomba miongozo bungeni na ujikite zaidi kayika kututetea watu wa ubungo tuliokuweka hapo, huku maji tabu na barabara haswa za kibangu hazipitiki, tunakuamini tafadhali usifanye kama keenja kwani 2015 sio mbali. kamilisha ahadi zako tafadhali
Nawashangaa sana unaposema apunguze kuomba miongozo Bungeni ina maana awe anaonewa na aseme NDIYO MZEE KILA WAKATI?????UBUNGO mna JEMBE la nguvu yawezekana hamjui tu kulitumia ila kama yeye kazi anawatumikia wanainchi wote si wa Ubungo tu bali Watanzania wote.
 
Bwana washawashwa inatakiwa atie timu kwenye jimbo la stela matomato ili wakatembeze kisago kama kile cha singida ili hawa wabunge vichomi wa sisiemu washike adabu.
 
Washwawashwa anataka kuuza sura kideoni na kesho kuamkia magazetini wakati jimbo liko hoi bin taabani! Misifa mingine bwana,hovyo tu! 2015 washwawashwa chaliii! Watu hawaangalii kuuza sura wanataka maendeleo!
 
dah huyu mnyika mi hata simuelewi,kila siku ye lazma asimame hata km hoja yke haina mashiko utamuona tu.halafu cku hizi kapata mwenzie pale mjengoni naye mapepe ile mbaya si mwingine ni dogo nasali.hawa jamaa km vile wako darasani tena std 7.nadhan km vile mnyika alikua anataka kufikia level za zitto na mdee ila wenzie huwa hawasimami kila siku,kwa kawaida zitto au mdee akisimama ujue moto utawaka ila hawa mnyika na nasali wanaboa siku hizi.
 
Yalipo magamba utajua tu maana maneno yao yanafanana sana mara LIWALO NA LIWE,Mara Alienda kutumbu kanisani tukamkamata,Mara Suala hilo liko mahakamani tusilizungumzie,mara ANABOA Lakini yote kwa yote watu hawa ni DHAIFU na mawazo yao ni Dhaifu.
 
Hana jimbo,
ni mbunge wa kuteuliwa na mkuu wa mkoa.

Stella Manyanya ni mtu wa serikali.

Bwana washawashwa inatakiwa atie timu kwenye jimbo la stela matomato ili wakatembeze kisago kama kile cha singida ili hawa wabunge vichomi wa sisiemu washike adabu.
 
Mh. Mnyika endelea hivohivo usilegeze kamba sisi tuko nyuma yako, fisi haachi mfupa ila kwa kelele. Hoja zako zote zina mantiki na pale bungeni ndio mahala pake kusimama na kuongea ili mradi spika karuhusu, mengine yote ni taratibu za kibunge. omba miongozo ya spika kadiri unavyoweza maana bila hivyo kwasababu ya uchache wenu bungeni mambo mengi yatapindishwa na mwisho mtashindwa kusimamia vizuri maendeleo ya majimbo yenu. Kumbuka kufanikiwa kwenu kutatua kero za wananchi na kuleta maendeleo majimboni kazi kubwa iko bungeni, jimboni ni utekelezaji tu sababu hamtumii pesa za mifukoni mwenu. Tumieni nafasi za baadhi ya wabunge wa kuteuliwa na walala fofofo bungeni kuikosoa serikali ili nchi isonge mbele
 
Wote nyie si wana Ubungo.. mpo hapa Kichama.. Tunaoishi ubungo tunajua anafanya nini.. Kwa sababu tunahudhuria mikutano yake ya ndani kutupa maendeleo ya vitu anavyofuatilia. Wewe unafanya kazi posta. Unaamka saa 11 ausbuhi kuwahi foleni unarudi saa tano usiku HAKUNA UNALOLIJUA UBUNGO..
 
Yalipo magamba utajua tu maana maneno yao yanafanana sana mara LIWALO NA LIWE,Mara Alienda kutumbu kanisani tukamkamata,Mara Suala hilo liko mahakamani tusilizungumzie,mara ANABOA Lakini yote kwa yote watu hawa ni DHAIFU na mawazo yao ni Dhaifu.

naona umeishiwa hoja unatoka mapovu tu.pole sana ndio mapambano yalivyo
 
yalipo magamba utajua tu maana maneno yao yanafanana sana mara liwalo na liwe,mara alienda kutumbu kanisani tukamkamata,mara suala hilo liko mahakamani tusilizungumzie,mara anaboa lakini yote kwa yote watu hawa ni dhaifu na mawazo yao ni dhaifu.
mkuu si ungejibu hoja kwanza, brabraa baadaye
 
Tuache double standards humu ndani. Kwani Mwigulu anachokifanya mbona hamjakisema? Au kwakuwa ni wa CCM?
 
Mnyika is doing the Best!! Hii Kazi ya barabara za Mitaani ni ya Halmashauri!! Sijajua Wanapeleka wapi Kodi Zetu Hawa Jamaa!! Ila mnyika najua akimaliza Kazi ngumu ya Bungeni Atawashukia hawa Jamaa kama Mvua ya Masika!!! Big Up Mbunge Wetu!! Tuko Pamoja na wewe Daima
 
dah huyu mnyika mi hata simuelewi,kila siku ye lazma asimame hata km hoja yke haina mashiko utamuona tu.halafu cku hizi kapata mwenzie pale mjengoni naye mapepe ile mbaya si mwingine ni dogo nasali.hawa jamaa km vile wako darasani tena std 7.nadhan km vile mnyika alikua anataka kufikia level za zitto na mdee ila wenzie huwa hawasimami kila siku,kwa kawaida zitto au mdee akisimama ujue moto utawaka ila hawa mnyika na nasali wanaboa siku hizi.
I was think in jamii forums there really great thinker kumbe there also poor thinker.....you find facts of what you are talking hujui anachokifanya mbunge wetu you keep quiet. Hauwezi kupata solution ya tatizo without knowing the root cause of that problem. you first analyze your ideas before post them here.
Mnyika amefanya mambo barabara ya baruti (msewe) to chuo now days ni 8 minutes, maji tunapata siku 2-3 mfululizo,mambo mengine yatafanyika tu coz development is a process acha siasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom