PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
Sasa kama unajua hiko kinachokufanya u'support kuwa waendelee kulipwa hivyo ninini!..wanaishi nchi tofauti na wengine?watanzania wanaishi under a dollar a day.....wabunge wanaishi under a thousand dollars a day.....kaazi kweli kweli