Mnyika vipi jamani??wote update za ikulu,tupeni ya mnyika imekuaje??

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
watu wote leo ikulu,ikulu....ahh inakera sana wakati kuna mambo ya msingi yanaendelea mahakamani.tupeni ripoti jamani kamanda wetu ,jembe MNYIKA noma yake inaendaje huko kwani nasikitika sana nipo sehemu ambapo redio zinazosikika ni za kenya,burundi ,rwanda na kongo.naombeni jamani na kuna watanzania wengi tu wanasubiri hiyo habari
 
aaaah! nimeelewa sasa! tarehe ya kesi ilikuwa leo lakini Jaji alikuwa anasubiri uamuzi wa jaji mkuu wa majaji JK ili ampe hukumu ya kusoma sasa kwa bahati mbaya jaji mkuu wa majaji JK alikuwa bize na baraza lake lingine na genge la unyonyaji ikabidi jaji ajifanye eti anamaralia ha! ha! ha! ili amsubiri kesho amuulize ahukumu vipi! Huu ndo ukweli
 
Back
Top Bottom