Mnyika tusaidie wapiga kura wako

Ni kweli,na sisi wakazi wa Salasala,Mbezi Manyema ktk biabara ipitayo Neema Trust Sec School,tunaomba umkumbushe Mh Halima Mdee,tuna tatizo kama hilo na kwa kuongezea tu ni kwamba kifusi
tulichangishana wenyewe wananchi,tatizo ni greda tu.We TRUST on you guys.

Teeeeeh.....teeeeeh who ''guys'' Halima Mdee ama wanaJf?
 
Naungana kabisa na wewe mtoa hoja.

Hata sie wapiga kura wako wa GOLANI, MSEWE UBUNGO tumepatwa na tatizo kubwa sana kwa takribani miezi kadhaa sasa. Inavojulikana ni kuwa Golani kuna tatizo la maji, lakini imekuja gundulika kuwa kuna mchezo mchafu unafanywa na viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia mradi wa maji hususani kisima cha umma kilichopo Golani.

Kuna ubathirifu umetokea kiasi kwamba mradi umehujumiwa kwa makusudi na wale wasimamizi walioteuliwa. Sasa hatupati tena maji,kabisa toka katika tangi letu.
Baada ya kuuhujumu mradi huu, hawa watendaji wameweza kufungua ofisi za kuuza maji majumbani kwao. Yaani ni hivi: wameua mradi wa kisima chetu cha maji, halafu wao wakanunua haya ma-simtank, wameweka makwao. hivyo tunalazimishwa kwa namna moja au nyingine kununua maji kwao kwa bei ya juu. Huu ni ufisadi twaomba utusaidie ikizingatiwa kuwa diwani wetu pia ni wa CDM
 
0715379542 namba hii ipo kwenye ile thread ya mdahalo wa kesho tumia nina uhakika unaelekezwa nini chakufanya. hsante
 
Back
Top Bottom