Mnyika: The Social Security Laws (Ammendments) Act wa mwaka 2012 kwa hati ya dharura

Hongera sana Mnyika

Baadae tunaomba upiganie ku-harmonize formula inayotumika kukokotoa mafao ya wastaafu. Hili ndilo lengo kuu la kuanzishwa SSRA lakini ninaona Irene Isack amerukia mambo mengine, kama hilo la kuondoa fao la kujitoa wakati wenzetu ambao hawana fao hilo hutoa fao jingine la UNEMPLOYMENT BENEFIT.

Kama hawana pesa za kuhonga RUSHWA kwenye General Election imekula kwao! BTW 2015 tunawaweka madarakani, hawa CCM wametuchosha na vitimbwi vyao!

Hapa kwnye red naomba uonyeshee dunia tunavyo dhulumiwa na kukosa haki. Hesebu zangu za chini ya muti tu wa PPF analipwa mara 500 kuliko wa NSSF na 300 zaidi wa LPF wote wawe na mshhara moja na wawe wamefanya kazi kwa muda ulio sawa
 
mene-mene-tekel-uparsin.gif

Mene mene tekel.
Our money?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom