Mnyika, Slaa na Lema kuuawa

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea
 
Ameshasema serikali ndiyo imshughulikie kama siyo kweli
 
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea

naamini habari hizo zitakuwa za kweli, mbona Mwakyembe alilalamika hivohivo mkanyamaza hadi yakamkuta masaibu yaliyo mkuta...na hili mnataka yatokee msingizie majambazi?
 
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea

Hali hii inatisha sana, japokuwa siamini kama ndiyo dawa kabisa.
 
Serikali dhalimu siku zote hutumia mbinu dhalimu ku deal na issues at hand. Nadhani wameshindwa kudeal vema na dokta ulimboka sasa wamehamia cdm.
 
Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea
Tunayo jamvini toka mchana.
 
Wanamapinduzi huwa hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu, nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu
 
Napata wasiwasi na hasira kusikia UWT kuhusishwa na kuua raia wake bila hatia,kwa nini wanatumwa kuaa bila kosa?au wao hawana mamlaka kuhoji kwa nini kuua wanasiasa bila kosa? Je ikitokea CDM wanashika dola itakuwaje?wataenda kuua tena CCM ambao watakuwa wapinzani??nakosa majibu!kama watawala hawataki kukosolewa na wapinzani wafute demokrasia!!!
 
Wanamapinduzi huwa
hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu,
nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe
Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu

wewe,toa kichwa weka dafu.lusinde alifanya nn karatu?na ikujaje karatu kwenye mada hii?acha pombe,shame on u.
 
Back
Top Bottom