Mnyika, prof shivij na cheo aizeck live Itv mada katiba mpya

Ptz

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
541
384
SalamuWanajamvi! Prof Shivij, Mh John Mnyika na Aizeck Cheo wako Itv live kwenye Kipima joto wakijadili mswada wa kitiba mpya, sahizi prof shivij anatoa ufafanuzi juu ya mchakato wa katiba mpya na kuwa bunge la katiba ni tofauti na bunge la kawaida, zaidi anasema Bunge la katiba liko juu ya bunge la kawaida
 
Back
Top Bottom