MNYIKA ndiye mpinzani namba 1 tishio kwa CCM na Serikali yake

assessment yako naweza kukubaliana nayo....but....kitendo chake cha kukubali kutumiwa kusaini kile ki-toilet paper cha pale ikulu baada ya chadema kukutana na JK kimenifanya nianze kujiuliza mara mbili mbili if kweli he's as smart as the hype blows!

Kusaini kile ki toilet paper lilikuwa chaka la miba waliloingizwa viongozi wote wa CDM na msanii mkuu TZ bwana JK. We unadhani pale angefanyaje?
 
Dr Slaa alipokuja kuzindua kampeni za Mnyika Ubungo alisema,
Sisi tunajua kuwa Mgombea wenu(Mnyika) ana kichwa kizuri sana, sisi makao makuu tunaamini nanyi watu wa Ubungo mtamchagua ili akawatumikie ninyi(wanaubungo) pamoja na CHADEMA kwa ujumla.
Hata hivyo, In the long run, Mnyika is an asset for Chadema.
 
Mnyika might be that aggressive and is indeed deserving the compliment for the character he has displayed so far. His sole but serious weakness however is his inability to stand against the party chairman and instead incontestingly buttresses each move broached by him.

Deliberately or accidentally, Mnyika is finding himself held captive by Mbowe simply because the latter played gigantic role in terms of financial wherewithal to assist the former sweep last election.

No wonder, Tanzanian multipartism is willy-nilly marred by domination of antagonistic camps within political parties themselves. Taking CHADEMA for instance, you have in it a selection of politicians who would support the Chairman at all cost while there also exist a group of a few MPs who can dare to question what comes out of Mbowe and have a chutzpah to dispute it.
 
Je kwa upande wa magamba yupi ni bora?
Anna Makinda Semamba. Hasa kwa kugundua kuwa Dodoma kuna maisha ya gharama kubwa kuliko sehemu yeyote Tanzania na hakuna aliyempinga kwa data licha ya kuwa yeye aliibuka bila data. Ndio mbunge bora sisiem kwani amewakilisha vema kauli mbiu yao posho kwanza
 
ubunge haumfai mnyika. Sijaona kitu cha maana alichokifanya jimboni kwetu. Maji ya mchina ndo kwishney, barabara mbovu, n.k n.k. Uongozi wa kichama ndo unamfaa zaidi. Au wa kitaifa
 
ubunge haumfai mnyika. Sijaona kitu cha maana alichokifanya jimboni kwetu. Maji ya mchina ndo kwishney, barabara mbovu, n.k n.k. Uongozi wa kichama ndo unamfaa zaidi. Au wa kitaifa

Lakini bado miaka minne na jimbo lake ni kubwa pia. Bado mapema kuhukumu, apewe muda.
 
Hata mimi namkubali sana mnyika ... ila siwezi ku-rank nani wa kwanza kwani kila mmoja ana-qualities zange ambazo mwenzake anakua hana. Mfano in no particular order ninawakubali Tundu Lisu, Godbless Lema, Mnyika ... kila mmoja ana uwezo wake binafsi.
 
Lakini bado miaka minne na jimbo lake ni kubwa pia. Bado mapema kuhukumu, apewe muda.

kama bado mapema kumhukumu mbona mmeanza kumsifia? Au ni mapema kumsifia ila si mapema kumponda achenh utoto.
 
kama bado mapema kumhukumu mbona mmeanza kumsifia? Au ni mapema kumsifia ila si mapema kumponda achenh utoto.

Hapa sasa unachanganya mzee, hatujamsifu kwa kuleta maji au kujenga barabara. Tumemsifu kwa kipaji chake. Unaweza kugundua kipaji cha mwanao kabla hajaanza darasa la kwanza. Kuna ubaya ukimsifu?
 
Mnyika anajitahidi kufurukuta, ila akishishindwa kutatua tatizo la maji, barabara, ulinzi na mipango miji mibovu Ubungo; 2015 hatafika mbali. Sifa za kupeana JF hazifiki uswahilini. kuna wakati watu wa Ubungo tunashindwa kwenda kazini mvua zikinyesha kwa sababu barabara hazipitiki. Wananchi hatutaki sifa za bungeni wakati daladala hazifiki maeneo mengi ya Ubungo kwa kuwa barabara ni mbovu. Usafiri wa bodaboda km moja si chini ya shilingi elfu, halafu si salama.
 
acheni kujadili ujinga ziwa tanganyika limechukuliwa na malawi wanafanya utafiti wa mafuta nyie mmekalia umbea

Wamelichukuaje? Kwa hiyo sasa hivi ziwa lote liko upande wa pili wa Malawi? Ha ha ha aaaaaaaaaaa!
Waweza kuwa na point ya maana sana lakini jinsi ulivyoiwasilisha! Inaita maswali mengi toka kwa msomaji.
 
Back
Top Bottom