Mnyika mchapakazi kweli - Magufuli

Sina Ugomvi na JM but Ningepata muunganiko wa misifa aliyomwaga Magufuli vs Ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi, maana nijuavyo kituo kilianza kabla ya Mnyika kuwa Mbunge.....nashawishika kuamini kwamba huenda waziri kakosa cha kuongea hapo.................
We unafikiri ni kitu gani kipya kinafanyika chini ya jua, acha jamaa apewe shavu punguza wivu
 
hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...

JM hajaoa ila ana wake.. sema amesema kama kweli unataka kumzawadia mama gaude anakushauri unipatie mie huyo.. itakuwa kama ameiti yeye.. unasemaje..?
 
Sina Ugomvi na JM but Ningepata muunganiko wa misifa aliyomwaga Magufuli vs Ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi, maana nijuavyo kituo kilianza kabla ya Mnyika kuwa Mbunge.....nashawishika kuamini kwamba huenda waziri kakosa cha kuongea hapo.................

Mkuu, sijui kwamba na mimi sjaelewa kama wewe au la, lakini mtoa mada hakusema Mhe. Mnyika kasifiwa kwa sababu ya ujenzi wa kituo!!!
Sifa zilizokwenda kwa Mhe. Mnyika ni za utendaji wake wa kazi in general kama mwakilishi wa watu wa jimboni kwake.
 
umeanza. Hayo waachie wana Mbezi
 
Mkuu, sijui kwamba na mimi sjaelewa kama wewe au la, lakini mtoa mada hakusema Mhe. Mnyika kasifiwa kwa sababu ya ujenzi wa kituo!!!
Sifa zilizokwenda kwa Mhe. Mnyika ni za utendaji wake wa kazi in general kama mwakilishi wa watu wa jimboni kwake.
yaaap..! Ndivyo ilivyokuwa ndugu yangu.
 
hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...

Ndugu yangu MIILI MIKUBWA (Vitambi) ni noma sana na achana kamwe na wazo la kuvitamani vitakutapisha bure.
 
Yule bingwa wa kuweka mawe ya msingi na kufungua jengo moja moja la shule za msingi na visima mbona hawakumpa hili jukumu la kufungua hio stendi?
 
Siyo Magufuli peke yake anayemhusudu Mh. Mnyika upande wa CCM. Hata yule mama FUKARA wa kutupwa na yeye ana mmind sana huyu dogo. Kama umri wake ungekua haujaenda basi pengine na yeye angejitoa zawadi kwa dogo ajirushe.
 
hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...

Kigogo hilo nalo neno, toka nizalizaliwe sijawahi kusikia neno kama hili tehe tehe tehe tehe.

hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...

Mh! Embu mwambie hiyo kauli mama gaude usikie jibu atakalokupa
 
Yeye ndio anagundua leo kuwa Mnyika ni jembe? Anakumbuka shuka kumekucha.
 
mhh sakata la kivuko alimsifu mdee-kawe akamkandia mnyika kwa nn wananchi wanalipa uBUS TER sh 300 kusindikiza wageni?
 
Lakini hata bila kusifiwa tunajua kuwa jamaa ni jembe, mambo ya foleni itaendelea si kazi yake yeye si polisi trafic na hawezi kufanya yote,
 
Hivi Mnyika ni kabila gani, nikatafute mke huko maana watakuwa na akili sana.
 
hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...

Kigogo uko siriaz mkuu?au umeamua kuchekesha wanajukwaa?Kama uko siriaz huyo mkeo mama Gaude utakua hujafunga naye ndoa na kama umefunga naye ndoa,umeshamchoka.
 
Back
Top Bottom