Recta
JF-Expert Member
- Dec 8, 2006
- 855
- 38
kwanini sasa hivi wapo nani katk serikali kuu?kipi bora Mnyika nayekuja na Ideas ambazo magamba wasingewahi zifikiri ila hwataki zitenda, au magamba waje na solutions zilezile zilizoshindwa huku wakiwa na sababu kibao za kujitetea.Possibly mnyika na mawazo mapya kwani ipo siku magamba watalazimishwa na raia kufanya au kutoka
Nicholas, idea ni nzuri, lakini uzuri wake ni pale zinapokuwa zimetumika. Idea zisizotumika hazina madhara wala maana yoyote.