Mnyika, Lema, Mbowe mnasaini laki mbili mnakuja mtaani kudanganya wananchi?

najua ccm kwa posho hawawezekani. Wanatamani kila mmoja apokee sh million 10 kwa siku.
Kwa hivyo naamini sasa wanapokea laki 2 badala ya 70 elf.
Lkn jee hawa wa chadema wanapokea sh ngapi? Au 70 elf au chini ya hapo ?

wamesema kuliko zirudi kwa mafisadi bora waendelee nao kula wawe kwenye kumbu kumbu za serikali
loh
 
Suala la posho linategemea zaidi uzalendo wa mbunge, mpaka sasa hivi mbunge wa Chadema aliyegomea utitiri wa posho ni mh. Zitto Kabwe, kimsingi ni uamuzi binafsi na wala si wa kichama; lakini kama unavyojua wabunge wetu wengi wanaongea lugha moja, sijasikia mbunge mwingine aliyegomea hadharani, ni juzi tu mh. January naye alijitokeza.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
Mkuu lakini msimamo wa CDM ni kuzikataa posho za vikao siyo tu kukataa nyongeza bali kitu posho ya vikao! Lakini cha.kushangaza ni kwamba hawatendi wanalosema amebaki mmoja tu kutenda wengine wanaishia kwenye maneno oooh hatutaki posho huku ziko matumboni tayari! Mimi nadhani ni watu wawili tu wakweli ndani ya CDM kuhusu posho: Zitto na Shibuda. Zitto anasema posho hazifai na amezikataa; Shibuda anasema hazitoshi na amepigania kwa kinywa kipana kwamba ziongezwe na anachukua bila woga. Wengine woooote wanaishia kusema tu msimamo wa Chama ni kukataa posho, sasa mbona hawazikatai wanendelea kuzilamba? Sina jina.longine la.kuwaita bali WANAFIKI tu. Kwangu mimi heros ni Zitto na Shibuda ambao wanatenda wanayoyaamini
 
Pdidy! wa ajabu kweli ww,unaandika pumba tupu kuku wewe,uache kujibu hoja unajibu ushuzi mtupu
 
Jamani
pamoja na uhuni wa spika ila upinzani umenishtua sana sana..sakata la posho kila mtu amejua
bado awajaanza kupewa kumbe wameshatumia na mbaya zaidi zingine ziko chooni
loh aikaeli/lema /mnyika jamani mnasaini kabisa lakimbili alafu watanzania mtaani mnakuja
kuwatembeza wafe wapigwe mabomu loh

miaka 50 ya utapeli

We umetumWA.
 
pdidy! Wa ajabu kweli ww,unaandika pumba tupu kuku wewe,uache kujibu hoja unajibu ushuzi mtupu

mpwa na wewe nipe ushuzi wako basi niweke kwenye kiberiti ntakupa hammer mpwa
lifikirie hilo mombasa watu muhimu sana nyie
 
we umetumwa.

sijatumpwa mpwa nimekuja kuukomboa ulimwengu ulipoteza dira na mwelekeo kwa makundi machache yanayopinga ufisadi na kunganganaia posho za ubunge mbaya zaidi wakisapotiwa na wapuuzi wachache wasiojua hata fomu za bunge kwamba sio kosa lao fomu za bunge aziandikwi kiasi shame n you all mlio na akili tasa

unajua tasa sio lazima binti aliekosa kupata mtoto unaweza kuwa tasa wa mawazo tasa wa akili na mbaya zaidi ukiwa na utasa wa ufahamu kama wachache wanaoandika humu jamvini kutetea upumbavuuuuuuuuuuuuuu ujingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ushenziiiiiiiiiiiiiiiiii usio na akili uwezi kupiga kelele kwa nini mwanao malaya wakati unarudi nyumbani na nyumba ndogo kila siku unabaki kuwa mshenziiiiiiiiii kwenye familia yako

ssasa mbaya zaidi nasema yule kabinti nimemuwasha sana lakini kwa hili nakapongeza bana kabinti makinda nasema kikwete umefanya akili kukapa nishani maana kuna wapuuzi wamekuwa kwenye magazeti wakikana posho na mbaya hata katibu wa bunge mpuuzi yule hata u dk wake amusaidiiiiiiiiii kabisa anakana akuna posho ya lakimbili kesho yake binti kiroboto anatumbua jipu ambalo watanzania wengi walikuwa wanahisi kujipanga kwa maandamano kumbe watu wameshatumbua na kusaini laki kadhaaaaa lohhhhhhhhh

ngoja nikale kitimoto kwa kakobe jamani hi nchi n kusoma nyakati nakwambia hata wewe ulie kazini ama serikalini kaa kimya kula nchi shauri zako ikichukua chadema amia chadema kula nchi ikichukua fwafu amia fwafu hiyo ndio nchi yetu shauri zako
 
Anyway kwa hapa naweza sema ukweli na sina pa kutokea..kama wabunge wa CDM wamekula ile posho mpya na hata zile walizogomea wametuangusha wanachama,wapenzi na washabiki na mbaya zaidi wananchi wa Tanzania...Ama sivyo watuambie wamefanyaje,je wamechukua hiyo posho mpya na ile posho nyinginea elfu 70 ya zamani? la sivyo ni kati ya vitu vitakavyo tuangusha sana kwa wananchi..tutasema nini kwa wananchi kama tulikula hii hela? Naomba Dada Regia,Mnyika na Zitto mpo hapa JF mmefanyaje kuhusu posho..Je,mmekula?
 
Only 83
nilikuwa nyumban kwa mama makinda nakwambia live hela zimeshaliwa na tunavyoandika zingine ziko vyooni zinatafuta chemba za kupumzika kwenye pumziko zao za milele

nasemaga kuliko kuwa mbunge bora niwe al shabab
 
Huwa nikisoma Thread za Pdidy naishia kucheka sana. Aachanganaya hoja nzito na za maana na vituko.

Kwa kweli kwenye hii ya Posho hawaleweki . Kwa CDM waliijitahidi kuonyesha msimamo wao Ni ziito na Shibuda.
 
Anyway kwa hapa naweza sema ukweli na sina pa kutokea..kama wabunge wa CDM wamekula ile posho mpya na hata zile walizogomea wametuangusha wanachama,wapenzi na washabiki na mbaya zaidi wananchi wa Tanzania...Ama sivyo watuambie wamefanyaje,je wamechukua hiyo posho mpya na ile posho nyinginea elfu 70 ya zamani? la sivyo ni kati ya vitu vitakavyo tuangusha sana kwa wananchi..tutasema nini kwa wananchi kama tulikula hii hela? Naomba Dada Regia,Mnyika na Zitto mpo hapa JF mmefanyaje kuhusu posho..Je,mmekula?

Posho, Mshahara na allowances zingine zote zinaingia kupitia akaunti yako benki,
Yaani unakuta tu zishaingizwa kwenye akaunti utazikataaje kwa vitendo??
Karatasi wanayoitumia kukuwekea ni ile unayosaini wakati wa mahudhurio, so kama hutaki posho basi usihudhurie vikao, ambapo nayo ina adhabu zake za utoro, utazikataaje?
Ingekua kuna dirisha unaenda unakinga cash ungeweza kusema kwamba unagomea kwenda kwenye hilo dirisha but haiko hivyo!!!
Wikiend hii mmepumzika mkishindwa kushughulisha bongo zenu inanipa mashaka week days hua mnatoaga michango ya aina gani!!!
 
hakuna ugonjwa mbaya kamA KUKURUPUKA lakini tafadharini ndugu zangu msimamo wa CDM ni kupinga posho za kiatako ndani ya bunge.Kama nikweli hata wale walioleta ya kukataa posho nao wana lamba basi hakuna wa kulaumiwa
ila TANZANIA tunabidi tujisearch kwa kuwa na ombwe hili la uongozi!
 
Chadema si wabaya zaidi ya Ccm waliozianzisha na kuzitumia kwa miaka yote 50 wakithubutu, wakiweza na kusonga mbele ktk uboreshwaji wake! Ngereja asaini milioni 4 ya posho!
 
Suala la posho linategemea zaidi uzalendo wa mbunge, mpaka sasa hivi mbunge wa Chadema aliyegomea utitiri wa posho ni mh. Zitto Kabwe, kimsingi ni uamuzi binafsi na wala si wa kichama; lakini kama unavyojua wabunge wetu wengi wanaongea lugha moja, sijasikia mbunge mwingine aliyegomea hadharani, ni juzi tu mh. January naye alijitokeza.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
Zito mnafiki wewe!ata hilo la kutaa posho alinzisha akijua haliwezekani.km mzalendo atoe gorofa lake pale dodoma badala ya hotel iwe shule ya walemavu kama tulivyoomba.mtu hapa angalau mnyika tu
 
Posho, Mshahara na allowances zingine zote zinaingia kupitia akaunti yako benki,
Yaani unakuta tu zishaingizwa kwenye akaunti utazikataaje kwa vitendo??
Karatasi wanayoitumia kukuwekea ni ile unayosaini wakati wa mahudhurio, so kama hutaki posho basi usihudhurie vikao, ambapo nayo ina adhabu zake za utoro, utazikataaje?
Ingekua kuna dirisha unaenda unakinga cash ungeweza kusema kwamba unagomea kwenda kwenye hilo dirisha but haiko hivyo!!!
Wikiend hii mmepumzika mkishindwa kushughulisha bongo zenu inanipa mashaka week days hua mnatoaga michango ya aina gani!!!
si waanzishe mfuko wa wabunge wa upinzani? Waziweke huko zisaidie wanyonge!.wizi tu!
 
sijatumpwa mpwa nimekuja kuukomboa ulimwengu ulipoteza dira na mwelekeo kwa makundi machache yanayopinga ufisadi na kunganganaia posho za ubunge mbaya zaidi wakisapotiwa na wapuuzi wachache wasiojua hata fomu za bunge kwamba sio kosa lao fomu za bunge aziandikwi kiasi shame n you all mlio na akili tasa

unajua tasa sio lazima binti aliekosa kupata mtoto unaweza kuwa tasa wa mawazo tasa wa akili na mbaya zaidi ukiwa na utasa wa ufahamu kama wachache wanaoandika humu jamvini kutetea upumbavuuuuuuuuuuuuuu ujingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ushenziiiiiiiiiiiiiiiiii usio na akili uwezi kupiga kelele kwa nini mwanao malaya wakati unarudi nyumbani na nyumba ndogo kila siku unabaki kuwa mshenziiiiiiiiii kwenye familia yako

ssasa mbaya zaidi nasema yule kabinti nimemuwasha sana lakini kwa hili nakapongeza bana kabinti makinda nasema kikwete umefanya akili kukapa nishani maana kuna wapuuzi wamekuwa kwenye magazeti wakikana posho na mbaya hata katibu wa bunge mpuuzi yule hata u dk wake amusaidiiiiiiiiii kabisa anakana akuna posho ya lakimbili kesho yake binti kiroboto anatumbua jipu ambalo watanzania wengi walikuwa wanahisi kujipanga kwa maandamano kumbe watu wameshatumbua na kusaini laki kadhaaaaa lohhhhhhhhh

ngoja nikale kitimoto kwa kakobe jamani hi nchi n kusoma nyakati nakwambia hata wewe ulie kazini ama serikalini kaa kimya kula nchi shauri zako ikichukua chadema amia chadema kula nchi ikichukua fwafu amia fwafu hiyo ndio nchi yetu shauri zako
Wewe si mtanzania!
 
Chadema si wabaya zaidi ya Ccm waliozianzisha na kuzitumia kwa miaka yote 50 wakithubutu, wakiweza na kusonga mbele ktk uboreshwaji wake! Ngereja asaini milioni 4 ya posho!

kwa hiyo na nyie mnatafuta madaraka mpate mgaiane miaka 50 loh!!!adidu rejea
 
Back
Top Bottom