Mnyika, La hasha rais Kikwete si dhaifu bali.....

Nitajisikia vibaya kwamba hata wao wamelijua hilo
Huyu anasema ikitokea, ilihali kila siku tunaambiwa? Mimi ninainteract na waKenya almost kila wiki, na wanasema kabisa, Tanzania ina serikali legelege kuliko zote Africa mashariki. Tena kuna mmoja amekwenda mbali sana na kunambia Tanzania haina rais bali ina kivuli cha rais. Huyu alikuwa anashangaa namna wanyama walivyoweza kupakiwa kwenye ndege na kutoroshwa bila ya serikali kujua. Wanaomsifia Kikwete ni waganda tu, lakini si wakenya na wanyarwanda. Sina taarifa kuhusu waburundi wanachosema juu yetu.

Binafsi sijisikii vibaya kwa kuambiwa ukweli, ambacho huwa nafanya ni kuwaunga mkono na kuonyesha masikitiko yangu, ya kuwa na Rais asiyejua ni kwanini yupo Ikulu. Hilo linaniumiza sana. Laiti yangekuwa ni mamlaka yangu, huyu jamaa alikuwa aondolewe siku nyingi sana. Ni dhaifu kupitiliza, tena hana hata sifa ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi. He is just a laissez-faire!
 
Fanyeni mambo ili Msiitwe Dhaifu.... Kama Nyerere alivyowatabiria kwenye Gazeti

Sasa akiwa dhaifu nimwite shujaa? Come on over my dead body, Rais dhaifu tena legelege habari ujumbe umefika period. Afanye kazi aache kufuja hela zetu sisi ndio tumemwajiri
 
Huyu anasema ikitokea, ilihali kila siku tunaambiwa? Mimi ninainteract na waKenya almost kila wiki, na wanasema kabisa, Tanzania ina serikali legelege kuliko zote Africa mashariki. Tena kuna mmoja amekwenda mbali sana na kunambia Tanzania haina rais bali ina kivuli cha rais. Huyu alikuwa anashangaa namna wanyama walivyoweza kupakiwa kwenye ndege na kutoroshwa bila ya serikali kujua. Wanaomsifia Kikwete ni waganda tu, lakini si wakenya na wanyarwanda. Sina taarifa kuhusu waburundi wanachosema juu yetu.

Binafsi sijisikii vibaya kwa kuambiwa ukweli, ambacho huwa nafanya ni kuwaunga mkono na kuonyesha masikitiko yangu, ya kuwa na Rais asiyejua ni kwanini yupo Ikulu. Hilo linaniumiza sana. Laiti yangekuwa ni mamlaka yangu, huyu jamaa alikuwa aondolewe siku nyingi sana. Ni dhaifu kupitiliza, tena hana hata sifa ya kuwa mjumbe wa nyumba kumi. He is just a laissez-faire!

Well said sina cha kuongeza.
 
JK ni dhaifu,huo ndio ukweli
Machiavelli alipata kusema kuwa ukitaka kumjua Kiongozi angalia aina ya wasaidizi atakaowateuwa kumsaidia,JK ameteua baraza la mawaziri dhaifu katika historia ya nchi hii,utasemaje sio dhaifu?
 
hujui kama bunge ni dhaifu????rushwa humo humo,,,kupiga kelele,kutukana,na maazimio yao huwa hayafanyiwi kaz refer to richmond mdau
 
Mnamtafutia utakatifu kwa nguvu? hana cha utabiri wowote zaidi ya kutuwacha nchi maskini wa mwisho duniani.

Ukiwa mjinga unaweza kudhani Nyerere alituacha maskini lkn kwa mtu mwenye akili, Nyerere alituacha na utajiri mkubwa. Huo utajiri ndio huu ambao Mkapa na Kikwete wanauuza kwa 3/100 kwa wazungu.

Wewe nani asiyekujua kwa chuki zako zinazoletwa na udhaifu? Muungano na UDINI ndio vinavyokuongoza. Haya basi Nyerere alituacha maskini, yule Mwarabu aliyeiacha mikoa ya mwambao ikidhorota kwa kukosa huduma za kijamii na elimu kuwa duni na mwarabu huyu mnayempigia chapuo aitwae Zanzibar, tofauti yao i wapi?

Achana na Nyerere wewe, dhahabu zetu alisema zikae mpaka tutakapokuwa na uwezo wa kuzichimba na kuzilinda halafu wewe unaongea pumba hapa.
 
Acha kumlinganisha na acha wewe kusema. namaanisha kwamba mfano kabinti kahouse girl kakizambia kanakuambia "RAIS WENU HUYU KIKWETE NI DHAIFU SANA" Utakenua meno kwa furaha si ndio?

ukiona hata kahausigeli ka zambia kanajua kwamba raisi wetu dhaifu ujue nchi haina rais. hivyo siwezi kufanya chochote maana najua nitaaibika zaidi.!
 
Siamini nachokisoma hapa. Nadhani Mheshimiwa Rais anastahili kijipima na kufanya maamuzi.
 
Mbona jk ni dhaifu toka sikunyingi! Yan mnashangaa mnyika kuwakumbusha?
 
niliwahi kukutana na mkenya anayeishi dar.alisema kuwa ni ajabu tanzania kuendelea kuwepo bila kuwa na rais wa NCHI kwa kipindi cha miaka mitano.ilikuwa mwaka 2010.alimaanisha kuwa jk ni kama hayupo
 
Will cheer up with a glass of white wine! Nitajua kweli mnafahamu M.kweere ni dhaifu na goi goi wa kimataifa

Kwa hiyo utafanya hivyo ili kujifariji au vipi? mimi nachukulia kama kauli ya namna hiyo ni dhihaka kubwa sana?
 
Hivi itokee unakutana na mkenya, au Mganda, au Mmalawi alafu anakuambia kwa namna yoyote ile, ama kwa kusikitika au kulalamika kwamba "RAIS WENU NI DHAIFU" mtajisikiaje, mtashangalia kama mnavyofanya hapa?
siku zote hata hao raia wa hizo nchi ulizotaja watataka kuonyesha uzalendo na utaifa wa nchi zao endapo watakutana na mtanzania anaye kosoa au kudharau nchi zao wanazotoka.hata hivyo swala la uzalendo na utaifa wa kinchi sio kigezo cha kutomkosoa raisi dhaifu kama JK.:embarrassed:
 
Hivi itokee unakutana na mkenya, au Mganda, au Mmalawi alafu anakuambia kwa namna yoyote ile, ama kwa kusikitika au kulalamika kwamba "RAIS WENU NI DHAIFU" mtajisikiaje, mtashangalia kama mnavyofanya hapa?

Wanajua hivyo wanachomsifia ni kuwa ni mzuri yaani tall & handsome that's all
 
Back
Top Bottom