Mnyika Kwishney, awasilisha ushahidi mwepesi na kwa sasa asubiri huruma ya spika tu

ufisadi wa ajira wilaya ya ilala.

SALUMU KAZUKAMWE ni afisa manunuzi wa wilaya ya ilala,huyu jamaa aliajiriwa kupitia mlango wa nyuma ie kwa rushwa na alibebwa na katanga ambaye sasa ni katibu mkuu wa TAMISEMI, ajira haikutangazwa popote kinyume na taratibu za ajira serikalini.jamaa ali push kwa kumhonga mkurugenzi wa wilaya ya ilala tsh laki sita.

salum maarufu kwa jina la KAZU aliiba pesa za misaada ya waathirika wa mafuriko ya jangwani akanunulia gari aina ya suzuki vitara nyekundu.

wanatanuru,tuimulike kwa macho mawili halmashauri ya manispaa ya ilala kuhusu ajira za mlango wa nyuma.
 
Jana trh 10.07. 2012 kwenye mida ya saa 11.10 jioni, Mh. Mnyika aliwasilisha ushahidi wa utetezi wake wa kuthibitisha uhusikaji wa Mh. Mwigulu Mchemba na kashfa ya EPA. Kwenye dodosa zangu na wahusika wa ofisi ya katibu wa Bunge, walinihabarisha kuwa mambo yaliyoandikwa na Mnyika ni too general, ambayo ni yale yale yanayosemwa magazetini, mitandaoni, na ushahidi wake mkubwa ni ripoti ya BOT kuhusiana na sakata la EPA.

Kwa minajili hiyo basi, ushahidi wa Mnyika wa kumuhusisha Mh. Mwigulu moja kwa moja na ushiriki wake kwenye EPA waonyesha haupo, na hili ndilo lilikuwa agizo la Mh. Mhagama ambalo alilo toa kuwa Mnyika aonyeshe ushiriki wa Mwigulu Mchemba personally na kashfa ya EPA na sio ushahidi wa BOT kwa ujumla wake.

My take: Kwa hali hii ni wazi kabisa Mh. Mnyika amejiabisha yeye mwenyewe, amewaibisha wananchi wa ubungo, amewaibisha vijana, amewaibisha CDM, amewaibisha wabunge vijana nk kwa kutokuwa na hoja zenye mashiko na zisizo kweli na uhakika. Kwa sasa anategemea huruma ya spika tu kwenye jambo hili.

Wewe ndo umejiaibisha na familia yako pamoja na ukoo wenu kwa kujibu kishabiki.
 
Hawa ni wapotoshaji ukweli ni kwamba mnyika aliwasilisha uhahidi wake kuthibitisha ukweli ,hawa ni waongo wa
 
Ndugai amechakachua kanuni waziwazi leo ,Hil

Hiii linadhihirishwana jinsi ambavyo umekuwa ukitoa miongozo mbalimbali bila kuzingatia kanuni nakama ulivyofanya leo juu ya mwongozo wa Mwigulu Nchemba dhidi ya John Mnyikakama ifuatavyo;
Naomba kunukuu kanunizifuatazo ;
1. Kanuniya 5 (1) ambayo inasema kuwa "katikakutekeleza majukumu yake yaliyotajwa katika ibara ya ya 84 ya Katiba , Spikaataongozwa na kanuni hizi ………."
2. Kanuniya 63 (2) " Mbunge yeyote anapokuwa akisema Bungeni hatachukuliwa kuwa anasemauongo iwapo anafanya rejea ya habari kuhusu jambo Fulani lililotangazwa aulililoandikwa na vyombo vya habari"
3. Kanuniya Adhabu : hii ni kanuni ya 73 (3) "Endapo mbunge yeyote atatakiwakuthibitisha ukweli wa jambo au suala alilolisema Bungeni na hadi kufikiamwisho wa muda aliopewa amekataa au ameshindwa kutoa uthibitisho huo,Spikaanaweza kumsimamisha Mbunge huyo kuhudhuria vikao vya Bunge visivyozidi vitano"
4. Kanuniya kupelekwa kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge ni 74(1) "Spikaanaweza kutaja jina la Mbunge kwamba amedharau mamlaka ya Spika na kasha kupelekajina hilo kwenye kamati ya Haki,Maadili na Madaraka ya Bunge….."


Leo Ndugaiumeonyesha wazi kuwa ulikuwa umejipanga wewe na Mwigulu ili kuweza kujibu kwanihaiwezekani mbunge aombe muongozo halafu hapohapo uwe na maelezo ya Mnyikamezani kama jambo hilo lilikuwa halijapangwa na kupangika, huku ni kukiukakanuni na kufanya upendeleo kwa chama chako.
Pili, leoumeshindwa kutumia kanuni kwa makusudi kwa lengo la kuuficha ukweli wa ushahidiwa Mnyika kwani hukusema aliwasilisha ushahidi gani ila umekimbilia kumpelekakamati ya maadili bila kujua kuwa makosa gani yanapelekwa kwenye kamati yamaadili ambayo ni kama Mbunge atamsema mtu ambaye sio Mbunge na kama alishawahikuhukumiwa kwa kusema uongo Bungeni ,ila leo kama kweli Mnyika alishindwa kuwasilisha ushahidi ulipaswa kutumia kanuniya 73 (3) kama ambavyo kanuni zinakuelekeza.
Naamini kuwa kunahaja ya wabunge kuendelea kudai kiti ili kiwe kinafuata utaratibu na kanuni nasio kufanya upendeleo wa wazi kwa wabunge wa upande mmoja , mijadala hiiitalisaidia Bunge kuweza kuisimamia serikali kikamilifu na sio kuacha hali kamailivyo leo.
 
Back
Top Bottom