Mnyika kukutana leo na wamachinga waliofukuzwa ubugo

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
John Mnyika > John John MNYIKA
Nakutana na wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga)
walioondolewa eneo la Ubungo. Nipo na Diwani wa Kata ya
Ubungo, Boniface katika ofisi ya Serikali za Mitaa, Kata ya Ubungo.
Taarifa zaidi zitakuja baadae.lll
 
Back
Top Bottom