Mnyika kufungua matawi

DAVIES

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
514
90
Kwa taarifa fupi, nipo hapa maeneo ya Mikongeni kuna shamra shamra zinazoendelea kwa ajili ya kufunguliwa tawi hilo na mheshimiwa Mnyika.
 
Kwa taarifa fupi, nipo hapa maeneo ya Mikongeni kuna shamra shamra zinazoendelea kwa ajili ya kufunguliwa tawi hilo na mheshimiwa Mnyika.
Iweje usiseme Mikongeni ni wapi? Au ni jiji kubwa ambalo kila mtu atakuwa analijua?

Ni tumaini langu hakutakuwa na kuingiliwa na akina Kamuhanda huko. Maana ana siku kadhaa hajaua.
 
Hoja ni maneno si matusi kwa mtazamo wako chadema watafika mbali ni ndoto njema ila unaota mchana
 
Iweje usiseme Mikongeni ni wapi? Au ni jiji kubwa ambalo kila mtu atakuwa analijua?

Ni tumaini langu hakutakuwa na kuingiliwa na akina Kamuhanda huko. Maana ana siku kadhaa hajaua.

kata ni ya makuburi mtaa mikongeni jimbo la ubungo la mh. Mnyika,
 
Hii haikusaidii wewe na post zako 4, la muhimu we nenda kamuulize babako kuwa alipomwoa mamako alijua atawazaa nyie watoto 10??

Mkuu msamehe ajui alitendalo!Kazi zakutwa then posho zinaweza kukufanya ukawa kichaa mbele yawenzako bila kujua!Anajitahidi kumtetea mwenye bastola kwa bisibisi,wanakufaga vibaya mno hawa ;-(!!
 
kwa sasa mh. Yupo external anafungua tawi karibu na kwa mwasota.
 
Hii haikusaidii wewe na post zako 4, la muhimu we nenda kamuulize babako kuwa alipomwoa mamako alijua atawazaa nyie watoto 10??
Mkuu, ametumwa kuharibu, ila aangalie asiharibike yeye mwenyewe. Ukifungua tawi maana yake watu wa kutosha na endelevu wapo, wivu wa nini, anaye wake ccm, mnyika naye anaye wake anayemfungua. Chuki ya nini kati yake ntoto huyu na na umma wa m4c?
 
Kwa taarifa fupi, nipo hapa maeneo ya Mikongeni kuna shamra shamra zinazoendelea kwa ajili ya kufunguliwa tawi hilo na mheshimiwa Mnyika.

yaani sisi wakazi wa manzese tuna matatizo ya maji,barabara yeye anawaza kufungua matawi haki ya nani huyu jamaa lazima 2015.....lazima ang'oke
 
yaani sisi wakazi wa manzese tuna matatizo ya maji,barabara yeye anawaza kufungua matawi haki ya nani huyu jamaa lazima 2015.....lazima ang'oke
Hujajua tu kwamba CDM inatwanga kotekote? Kufungua matawi, kupata wanachama wapya na kushughulikia kero za wananchi vinakwenda sambamba, na sio moja baada ya lingine.

Kisipopanuka chama kwa kufungua matawi na kuongeza wanachama hakitakuwa na nguvu za kuibana serikali ikumbuke kwamba hata watu wa Manzese nao wanastahili kupata maji.
 
chadema...haitafika mbali propagandA YA UDINI,UKABILA,UKANDA NA UFREEMASONS ITAWAANGUSHA 2015

Yaani bado mnajifariji kuwa hizo propaganda zenu zinasikilizwa na mtanzania yeyote hadi leo,ndo anavyowadanganya nape? Go ahead, because you have no choice,mkuu wenu mr.HAYATEKELEZEKI ameshindwa kutekeleza japo ahadi chache katika zile lukuki alizowaahidi watanzania na hamna jipya la kuliongea mbele zao and now smear campaign is the only and all that you have huh! Pity ccm programming!!
 
Back
Top Bottom