Mnyika JJ uko wapi? kwanini bunge linawashutumu nchi rafiki?

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,066
1,535
Hi wanajamvi.

kuna kauli za kilevi ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya vigogo wa CCM na serekali hapo nyuma kuwa balozi zao zinafadhili upinzani.

mmoja wapo alikuwa sophia simba na bernad membe ambao waliomba msamaha mara moja...

leo hii tunasikia tena bungeni kauli kuwa balozi zinafadhili vurugu na maandamano....

kwa nini wasijieleze na kutoa ufafanuzi?

j j mnyika, katibu wa wabunge na mkurugenzi mambo ya nje hebu walime barua!

naomba kuwakilisha
 
Back
Top Bottom