Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

Childish.
Silly Season.

Let us stretch our brain a little bit more!!..............maana zaidi 40% ya watoto wa kitanzania akili zimedumaa! they cannot question! by msigwa! wenye akili nyingi wameziweka mfukoni!
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

Kwa hiyo wewe unaamini kabisa kuwa Kikwete sio dhaifu? (si kimwili au kiafya bali kiutendaji na hili ndilo wana CCM hamtaki kulielewa). Je ni kwa nini alishindwa kuvunja baraza lake la mawaziri mpaka akataka ushauri wa CC ya CCM?
 
Zomba huwezi vita binafsi na Mnyika. Unakumbuka shuka kumeshapambazuka. Wenzako tumetangaza vita dhidi ya viongozi dhaifu siku nyingi sana. Mtu mzima hovyo hafai kuheshimiwa hata kama ni raisi wa dunia. Na kwa taarifa yako hamna sheria inayonikataza kumwita Kikwete dhaifu na ndiyo maana Mnyika hakufuta kauli na leo ametinga mjengoni. Kaa ukijua mwaka 2015 tukishachukua nchi tutawashitaki viongozi wote dhaifu kwa kulisababishia taifa hili hasara kutokana na udhaifu wao. Endeleeni na udhaifu wenu sie tunachuma fimbo za kuwachapa sawasawa.

Mnyika humwezi.

Mimi inawezekana simuwezi kwa kuwa sipo pale mjengoni wala Serikalini, lakini nasema Mnyika Kikwete hamuwezi. Amuone vile vile anacheka cheka, lakini "mtoto akichezea wembe muache". Sisi tunalitazama hili sakata litaishia wapi.

Hatutomwachia kabisa "mpaka kieleweke", kitoto kidogo kile hakiwezi kuja kututukana tukakiacha kicheke cheke hovyo. Lazima ajuwe maana ya Serikali ni nini, maana ya Rais ni nini, maana ya Bunge ni nini na maana ya kutukana ni nini.

Naanza kampeni rasmi, ya kuhamasisha kushikishwa adabu. Na hapa nimeanza tu, kukumbusha kuwa Mnyika Kikwete hamuwezi.
 
Basi angalau mwanzisha mada ungeuliza udhaifu wa JK upo wapi na utuonyeshe uimara wa JK upo wapi pia kuliko kupinga kauli tuu na kutangaza vita from no where.
 
Mnyika alipaswa kuwa amemwambia Kikwete maneno haya siku ile uongozi wa CHADEMA ulipokwenda Ikulu wakati wa ile sheria iliyounda Tume ya Katiba mpya. Hata hivyo ujumbe umemfikia mlengwa sawia pamwe na kuchelewa kuitoa kauli muhimu kwa mwaka huu. Udhaifu wa Rais wetu ni dhahiri kabisa hata kwa kipofu. Mbaya zaidi hata kuilinda na kuitetea KATIBA alioapa mara mbili kufanya hivo ameshindwa.
 
Kiukweli kwa kipaji hiki, Mnyika hamuwezi JK kabisaaaaa

JK.jpg

aisee, hata akizaliwa marekani....kwa ngoma humtoi..hata mimi kwa hili tu simuwezi....
 
Mnyika yeye alichofanya ni kusema "Ukweli", Hapa hajatukana sasa kama bajeti iliyowakilishwa ni dhaifu basi hata aliyeisani ni dhaifu pia.
 
Kwa hiyo wewe unaamini kabisa kuwa Kikwete sio dhaifu? (si kimwili au kiafya bali kiutendaji na hili ndilo wana CCM hamtaki kulielewa). Je ni kwa nini alishindwa kuvunja baraza lake la mawaziri mpaka akataka ushauri wa CC ya CCM?

Nasema hivi, nyinyi hamuelewi msemo wa Kiswahili unaosema "asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimengu", huyu kijana hajafudwa kwao, na sasa ulimwengu utamfunda. Kacheza na moto ambao haujuwi joto lake.

Kajiingiza kichwa kichwa pabaya sana, kavuka mipaka ya demokrasia, kashindwa kuleta hoja kaleta dharau na hilo hatuliwachi likapita ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Mimi inawezekana simuwezi kwa kuwa sipo pale mjengoni wala Serikalini, lakini nasema Mnyika Kikwete hamuwezi. Amuone vile vile anacheka cheka, lakini "mtoto akichezea wembe muache". Sisi tunalitazama hili sakata litaishia wapi.

Hatutomwachia kabisa "mpaka kieleweke", kitoto kidogo kile hakiwezi kuja kututukana tukakiacha kicheke cheke hovyo. Lazima ajuwe maana ya Serikali ni nini, maana ya Rais ni nini, maana ya Bunge ni nini na maana ya kutukana ni nini.

Naanza kampeni rasmi, ya kuhamasisha kushikishwa adabu. Na hapa nimeanza tu, kukumbusha kuwa Mnyika Kikwete hamuwezi.

Kweli leo umedhihirisha u zoba wako!
 
Nadhani imefika wakati sasa Rais inabidi aoneshe udikteta kama wa Mkapa , enzi zile midono ya watu kama hawa ilifyata kama mikia ! Rais tunaomba uwashikishe adabu watu kama hawa ambao hawana nidhamu kabisa, hata iweje huwezi kuwa na kiburi na dharau kiasi hicho kwa kiongozi wako wa nchi! Rais tunaomba huyu aadabishwe ! na iwe fundisho kwa wengine !

Inaonekana bado umelala kwenye usingizi wa chama kimoja kushika utamu,

Amka ndugu, tuko karne ya vyama vingi, kule watu wanathubutu kusema kwa wazi zaidi bila kuogopa vitisho.
acha demokrasia ichukue mkondo wake.
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

Hamuwezi kikwete kwa kuwa ni DHAIFU....so Mnyika niu kweli hawezi kushindana na mtu dhaifu..na kwa udhaifu huo ndo maana mnatukanwa..Mbona Kibaki hatukanwi,mbona Kagame haitwi dhaifu? we rais wa nchi anasema eti nikienda marekani ntawaomba wale chama cha basketball kule USA wawasaidie nyie hapa Tanzania!!! sasa huyoo rais au katibu tarafa?rais unatakiwa kuwa na mawazo makini na mapana sio mawazo kama mwenyekiti wa kikundi cha wacheza ngoma
 
Nasema hivi, nyinyi hamuelewi msemo wa Kiswahili unaosema "asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimengu", huyu kijana hajafudwa kwao, na sasa ulimwengu utamfunda. Kacheza na moto ambao haujuwi joto lake.

Kajiingiza kichwa kichwa pabaya sana, kavuka mipaka ya demokrasia, kashindwa kuleta hoja kaleta dharau na hilo hatuliwachi likapita ili iwe fundisho kwa wengine.

JKI ni dhaifu sana...na hilo linajulikana ..hivi mapovu yanakutoka unapingana na ukwlei..ok achilia mabali kauli ya mnyika..JK alipata GPA ya 2.4 UDSM..sasa huyo ni dhaifu au strong student? usiwe unashabikia vitu usivovijua..JK ni dhaifu sanaaaaa
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

Mkuu Zomba,mimi naelewa kuwa ingekuwa vita binafsi kama haya maneno angeyasema mtaani,lakini pale alipoyotolea ni mahali sahihi kabisa. Pili,wapo wabunge wa CCM ambao walipaswa kupinga hoja hiyo ya udhaifu wa Rais kwa kuonesha ni jinsi gani Kikwete si dhaifu na si kutumia mwamvuli wa spika wa CCM kumtoa Mnyika nje.
 
Mnyika yeye alichofanya ni kusema "Ukweli", Hapa hajatukana sasa kama bajeti iliyowakilishwa ni dhaifu basi hata aliyeisani ni dhaifu pia.

kukejeli kuwa wabunge wote ni "wazembe", wana ccm wote ni "upuuzi" na Rais ni "dhaifu", kwako wewe si matusi hayo?
 
Nasema hivi, nyinyi hamuelewi msemo wa Kiswahili unaosema "asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimengu", huyu kijana hajafudwa kwao, na sasa ulimwengu utamfunda. Kacheza na moto ambao haujuwi joto lake.

Kajiingiza kichwa kichwa pabaya sana, kavuka mipaka ya demokrasia, kashindwa kuleta hoja kaleta dharau na hilo hatuliwachi likapita ili iwe fundisho kwa wengine.

Inadhihirisha wewe ni mtu wa karibu sana na Rais, na inadhihirisha wazi kwamba unamshauri Rais ili afanye revenge dhidi ya Mnyika. Rais akifanya hivyo unavyotaka wewe (Yaani kumkomesha Mnyika) ndipo atapodhihirisha udhaifu wake maradufu.
 
Back
Top Bottom