Mnyika hakika wewe ni Mtanzania Mzalendo na Kiongozi wa Kuigwa

Huyu jamaa namkubali sana ndani ya Chadema, nadhani ni miongoni mwa kizazi okozi cha Tanzania kitakachoipeleka ktk Tanzania ya kweli-Big up Mnyika tu pamoja sana katika hili.
 
Hawa ndiyo viongozi tunaowahitaji....

Majitoleo yao ndiyo muhimu kwa maisha ya watanzania....

God bless you mnyika...
 

In practice not all people clearly understand the role of legislators. Through research it emerged that some people in rural areas and even urban areas think that MPs are supposed to personally implement development projects such as road construction, bridges, constructing water projects and establishment of irrigation schemes. This observation underlies the common problem in rural areas where the electorate is tricked into voting for MPs who promise to implement certain projects that are not within their powers to implement resulting in empty promises. Instead the implementation might be the responsibility of local authorities, government agencies or development support agencies while the legislator might only have the power to inquire about progress on the projects or simply facilitate the implementation of projects that benefit their people.
Legislative representation simply put entails the duty of Members of Parliament in servicing and taking care of the interests of their constituencies either in the House of Parliament, at government level or at public forums or wherever the legislator can advance the aspirations and needs of his/her people. It is understood as a reflection of the views, values and principles of constituencies by elected or appointed individuals. The elected individuals are mandated by the people to relay their interests and values to the government.
The main function of legislators is to make laws, representing constituencies and acting as a constraint on executive power by exercising a degree of oversight. Furthermore, they have a control function which entails the control of how national resources are allocated and used.
Therefore, the role of the legislator demands active engagements with the constituency in order to guage its interests, expectations and problems and articulate them in parliament, thus transforming people’s views into law. The expectation of every constituency is that their elected Member of Parliament would represent, consult, play an oversight role and make laws that fulfill their specific interests. In effect he/she is expected to convince other MPs and the government that the interests and values of his/her constituency are of
paramount importance and should be given national attention and priority. These values or interests can be economic, social, political or environmental.
[/COLOR]

Tupo pamoja sana
 
Hapo cha kuongeza tu kuwa wananchi wanakuwa waoga wakiamini kuwa jimbo likitawaliwa na chama pinzani halitapata maendeleo maana uongozi wa serikali hautatoa pesa. Huu ni mtizamo mfu sana maana hata hiyo serikali haina pesa, pesa wanazo wananchi ndo wanaolipa kodi. Kupitia kuwaelimisha na kwa pamoja hata kama ni harambee na kuchangia maiji ya uhakika yakipatikana itakuwa hatua ya juu sana kwa ubungo.
Hata sisi tuliotaka kuhama ubungo kwa kero ya maji tutabaki. Zidumu fikra za mwenyekiti!
 
Nimefurahishwa sana na habari hii. Hata hivyo, tukumbuke kuwa sasa hivi Tanzania inaelekea mahali ambapo sio pazuri. Tumekuwa tukichagua WAFADHILI badala ya VIONGOZI. Kwa mfano, mbunge wa Rorya alipokuwa anahojiwa na waandishi wahabari kabla ya uchaguzi alisema yeye kwa kweli hana elimu amefika darasa la saba tu, lakini ameajiri wasomi. Sidhani huu ni mbunge anayetufaa katika karine hii. Suala la Mnyika kuhurumia wananchi ambao uwezo wao wa kujikomboa kielimu ni mdogo lisiwe kigezo pekee cha kumpima. Tuendelee kumpima pia kwa hoja anapokuwa bungeni na nje ya bunge. Hata hivyo, namuamini sana yule kijana. Nadhani ni mwanamageuzi imara
 
Hakika ameonesha mfano mzuri na wa kuigwa real he is good leader, Endelea na msimamo huo huo wasije wakakudanganya hao wazee waliokutangulia
 
these are people who are badly needed in our society, unfortunately we have a scarcity of them
Best of luck Hon.Mnyika for ur inspiration .
 
Hii ni habari njema maana ile nyingine inachosha na kukera (mara sumu, kavuliwa cheo, haivi na boss wake etc).

Mnyika unaonekana kuwa humble na kama ukitataka tukupe heshima zaido kubali kuwa mtumishi wa wanaUbungo na Tanzania kwa ujumla. wengi wa wanasiasa wanaomba utumishi lakini wakipewa wanageuka kuwa maboss na hulazimisha tuwaite Waheshimiwa au Dokta fulani.
Tuunganishe wanaUbungo yale yanayohitaji michango ya wananchi tutakuunga mkono, yale yanayohitaji mkono wa halimashauri au serikali kuu weka msukumo yafanyike.

Mola akujalie heri kaka
 
Mnyika ubunge sio kujitolea pesa, haiwezekani kuleta maendeleo kwa kutoa pesa. Kinachohitajika ni mbunge mwenye uwezo wa kuikaba serikali itumie kodi ya wananchi kuboresha elimu, maji,nk...tukijenga dhana kwamba uongozi unapimwa kwa mtu kuchangia fedha kusaidia watu tujue tunajenga mazingira mazuri kwa mafisadi kubaki madarakani. Kwani ni utaratibu huu ambao umefanikisha mafisadi wengi kuziteka hata nyumba za ibada kwakuwa wanachangia sana michango ktk nyumba za ibada. Mimi nilidhani pesa hizo mnyika ungezipeleka chuo kikuu ukalipie ada umalizie degree ili jimbo letu la ubungo liondokane na aibu ya kuwa jimbo linalo ongozwa na kihiyo...jamani ni aibu jimbo la mjini kuongozwa na form six tu..
 
PINDA NA MNYIKA: MASIKINI WA KIFEDHA, MABILIONEA 'MOYO WA KUJITOLEA':

Nashangaa unamuingiza Pinda hapa hivi unafahamu madaraka ya waziri mkuu? I mean we need to be serious kidogo wakati fulani ..... Pinda anakubali kutumiwa kuwaghiribu wapiga kura anakula na Mafisadi papa ... .. then oh mtoto wa mkulima wapi anapokaa na kuhesabiwa?

Mnyika fanya kazi kijana.
 
Mnyika ubunge sio kujitolea pesa, haiwezekani kuleta maendeleo kwa kutoa pesa. Kinachohitajika ni mbunge mwenye uwezo wa kuikaba serikali itumie kodi ya wananchi kuboresha elimu, maji,nk...tukijenga dhana kwamba uongozi unapimwa kwa mtu kuchangia fedha kusaidia watu tujue tunajenga mazingira mazuri kwa mafisadi kubaki madarakani. Kwani ni utaratibu huu ambao umefanikisha mafisadi wengi kuziteka hata nyumba za ibada kwakuwa wanachangia sana michango ktk nyumba za ibada. Mimi nilidhani pesa hizo mnyika ungezipeleka chuo kikuu ukalipie ada umalizie degree ili jimbo letu la ubungo liondokane na aibu ya kuwa jimbo linalo ongozwa na kihiyo...jamani ni aibu jimbo la mjini kuongozwa na form six tu..

tuko pamoja zaidiiii
 
Back
Top Bottom