Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 787
Ndugu, Kweli nimeamini safari ya maendeleo ya Tanzania ni ndefu; najiuliza hawa wabunge hodari sana kutoka chama makini sana Tanzania wameshindwa ku-solve issue ndogo kiasi hiki ya kuondoa foleni kwenye daraja linalounga Kigogo-Ubungo Road na Mandela Road pale External. Kama uongozi wa serikali kuu au mitaa sio ku-ondoa kero ndogo ndogo kama hizi kwa ku-set directions, mimi naomba nisiwe kiongozi daima!
Najua wanasiasa including mbunge maarufu sana wa jimbo la ubungo atasema anamipango ya kujenga daraja jipya, this is good na kwa sasa sina shida sana na hilo, maana najua taifa bado lina mambo mengi na linakusanya kodi kidogo yaani ya watanzania wasiozidi 2-5%.
Langu mimi ni hili, kitendo tu cha kuweka askari -private au kuwapatia vijana 6 ajira wa mabibo external... tena kwa malipo ya kima cha chini....
Waweze kuwa pale kwa zamu mbili 8hrs each, meaning we need 4 of them... then wawili wa akiba, kina uwezo wakuondoa msongamano kwenye ile daraja kwa sasa without any problems...
Resources needed. TZS 150,000 x 8 = 1.2M TZS per month only!!! hii inaokoa mafuta mengi yanayotumika pale, time ya waTanzania wengi, polution reductions etc.
One time cost (max 200,000TZS), bango la kila upande kuonyesha ni magari kumi (10) tu kila upande yanaruhusiwa wakati wa msongamano on both sides at a time. Hao vijana askari/private kazi yao ni ku-enforce that by law.
Utaratibu;
Kila upande kuruhusiwa magari kumi kwa wakati....
Nauliza mh. Mnyika, Diwani wa Ubungo Maziwa, Mkurugenzi wa Kinondoni, Mkuu wa Mkoa... do we need to import technology from "Kwa hisani ya watu wa marekani" kufanya hili?
Nawasilisha.