Uko nje ya mada mr.laymanHuyo huyo si ndio alikuwa anadai katiba hii mbaya na anataka ibadilishwe mpaka akawa anasusa bungeni. vipi leo imekuwa nzuri?
Nakwambieni huyu kijana anachanganyikiwa, kama mnabisha mtanambia, maana nimem-observe, mara anacheka cheka bila sababu, mara ananuna bila sababu, mara anakasirika bila sababu, mara anaongea vitu vya ajabu.
Mtazameni sana jamani, asije akafanya vituko vikubwa kuliko hayo mjengoni, huu ni ushauri wa bure.