nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
| ||
|
| ||
|
• Adaiwa kutumia Bunge kukwepa maswali
na Martin Malera
Mbunge wa Viti Maalum, Ritha Kabati (CCM), amesema anakusudia kupeleka hoja binafsi ili kukifuta kipindi hicho kinachofanyika kila siku ya Alhamisi kwa madai kuwa kina maswali ya kumdhalilisha Waziri Mkuu.
Hatua ya Pinda kukwepa maswali jana, imemlazimisha Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika, kumshtaki Mwenyekiti wa Bunge, George Simbachawene,
Huyu Pinda alizoea kutumiwa maswali na Hamad Rashid in advance na kuandaa majibu,
lakini sasa hali imegeuka baada ya kuingia wabunge makini wa CDM, hivyo Pinda sasa anaona
kiti cha moto ndiyo maana CCM wanapindisha kanuni za bunge kumuokoa PM. BTW, bado
tunasubiri matokeo ya tuhuma za Lema kuhusu Pinda kusema uongo, mbona Makinda anakalia
uthibitisho wa Lema. CCM mtaendeleana kulindana lakini la kuvunda halina ubani.
Halafu wabunge kama huyo Kabati ndiyo wanatufanya watanzania tuchukie hivi vinavyoitwa
VITI MAALUM. Dawa yenu ni katiba mpya hatutaki upuuzi tena wa viti maalumu kama wabunge
wenyewe ndiyo hawa wa aina ya akina Kabati shame on you.
Bunge linalo kanuni n taratibu zake, kama PM anaulizwa swali la kuzalilishwa, spika anaweza kuzuia swali
hilo. Sasa wewe Kabati leo eti unajigeuza spika na mujibu swali? Go to hell big mama Kabati. Kwa IQ yake
ilivyo ndogo I'm sure huna uwezo wa kuleta HOJA binafsi ya kufuta hicho kipindi unless usaidiwe na CCM
wenzako wachache wenye akili. Lakini kabla ya kuleta hiyo hoja angalia historia ya mabunge ya jumuiya
ya madola then utafahamu origin ya kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo. Ninafahamu hii ni
hoja nzito ambayo Mh. kabati huwezi ku comprehense in your brain lakini tafuta msaada, ELIMU HAINA MWISHO.
Wakati kanuni zikitumika kumlinda Pinda, asijibu maswali ya papo hapo, Mbunge wa Viti Maalum, Ritha Kabati (CCM), amesema anakusudia kupeleka hoja binafsi ili kukifuta kipindi hicho kinachofanyika kila siku ya Alhamisi kwa madai kuwa kina maswali ya kumdhalilisha Waziri Mkuu
GENERAL | ||
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Ritta | |
Middle Name: | Enesper | |
Last Name: | Kabati | |
Member Type: | Special Seat | |
Constituent: | No Constituency | |
Political Party: | CCM | |
Office Location: | ||
Office Phone: | ||
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | ||
Member Status: | ||
Date of Birth |
EDUCATIONS | ||||
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
No items on list | ||||
CERTIFICATIONS | |||
Certification Name or Type | Certification No. | Issued | Expires |
No items on list | |||
EMPLOYMENT HISTORY | |||
Company Name | Position | From Date | To Date |
No items on list | |||
POLITICAL EXPERIENCE | |||
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
No items on list | |||
PUBLICATIONS | |
Description | Published Date |
No items on list | |
SPECIAL SKILLS | |||
Skill Name or Description | Years Experience | Acquired Through | Skill Level |
No items on list | |||
RECOGNITIONS | ||||
Recognition Type | Recognition Date | Reason | Action Taken | Issued by |
No items on list | ||||
Wakati kanuni zikitumika kumlinda Pinda, asijibu maswali ya papo hapo, Mbunge wa Viti Maalum, Ritha Kabati (CCM), amesema anakusudia kupeleka hoja binafsi ili kukifuta kipindi hicho kinachofanyika kila siku ya Alhamisi kwa madai kuwa kina maswali ya kumdhalilisha Waziri MkuuHuo ndo unafiki wa wabunge wa CCM![/QUOTE Hivi sijui tuwafanyeje hawa mashangingi hakuna cha maana wanachofanya ila kupindisha ukweli.
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Ritta
Middle Name:
Enesper
Last Name:
Kabati
Member Type:
Special Seat
Constituent:
No Constituency
Political Party:
CCM
Office Location:
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
No items on list
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type
Certification No.
Issued
Expires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
No items on list
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
No items on list
PUBLICATIONS
Description
Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description
Years Experience
Acquired Through
Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type
Recognition Date
Reason
Action Taken
Issued by
No items on list
Huyu kweli ni kabati,hata CV hana