MNYIKA aichachafya Wizara ya Afya kuhusu Madaktari

Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

Jitu zima hovyooo, umejaa majungu kama sio msomi. Hii PhD unayosema unayo ulifanyia utafiti wa fitina na majungu unayoya jaza hapa?
 
Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

wewe kweli pimbi,una mawazo ya kale,wewe huna tofauti watu waoamini mtu akiongea english atakuwa amesoma sana,mnyika ana BBA ya udsm pia anamalizia master yake
 
Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

tulishsdiscuss hapa JF kuhusu Cv y MNYIKA, tafuta utaiona kama unaitaka! ila kama we ni msomi unatakiwa ujue kwamba uwezo wa kujieleza hausomwi mahali popote pale! ni kipaji cha mtu ambacho anazaliwa nacho! huwezi kujifunza kujieleza wala hakuna cource kam hiyo! mnyika ni kichwa mbaya sana! kwa kifupi tu ni kwamba alimaliza F4 mAUA SEMINARY MWAKA 1999 n AKAPATA 1.7 ya A 9 na C ya Kiswahili! tafakari na chukua hatua!
 
Mbona chadema mnna double standard. Kule kwenye viti maalum kigezo kimojawapo kilikuwa skuli. Huku mtu akitaka kujua skuli ya mbunge imekuwa nongwa.

Kumbuka kwa swifa anazopewa siku hizi ambazo kwa kuwa sijaona CV yake popote naona kama ni promotion tu. Ndio maana naomba CV yake nilinganishe na swifa anazopewa.

Mimi binafsi nilistahajabu sana pale alipopinga kuhusu kuongezeka kwa nauli za kivuko cha kigamboni kutoka shilinh za kiTz 100 na kuwa 200.

Nilistahajabu kwa sababu bei ya kwenda kujisaidia kwenye choo cha jiji ni Tsh200 . Kwanini asilione hilo kwanza la bei ya kutumia choo akaone hilo la Kivuko.
?
lakin all in all CV yake ni muhimu sana kuiona li tujiridhishs na swifa anazopewa.

isije ikawa anapewa na kumezewa kila kitu ,yeye anakuwa msomaji

Skuli ni muhimu sana bungeni
Pole sana Dr. Barubaru, kwani kwa ufinyu wa fikra zako unaona gharama za kujisaidia ni jambo la kujadili na kumdharau mtu, lakini mchango wa mtu bungeni kwako sio swala la mhimu kwa sababu mchangiaji huyo anaitwa John na anatoka CHADEMA!natamani sana Mohamed Saidi angelikuwa bungeni kwani tusingekuwa na haja ya kuuliza CV yake, na wala tusingekuwa na mashaka kwamba mawazo anayoyatoa hakuandikiwa na watu!
 
tulishsdiscuss hapa JF kuhusu Cv y MNYIKA, tafuta utaiona kama unaitaka! ila kama we ni msomi unatakiwa ujue kwamba uwezo wa kujieleza hausomwi mahali popote pale! ni kipaji cha mtu ambacho anazaliwa nacho! huwezi kujifunza kujieleza wala hakuna cource kam hiyo! mnyika ni kichwa mbaya sana! kwa kifupi tu ni kwamba alimaliza F4 mAUA SEMINARY MWAKA 1999 n AKAPATA 1.7 ya A 9 na C ya Kiswahili! tafakari na chukua hatua!

Kwanini msiweke CV yake kamili. Hizo A zote ni zake suala kuu ni kuona CV yake kamili tuweze kulinganisha na swifa mnazompa.

tulishsdiscuss hapa JF kuhusu Cv y MNYIKA, tafuta utaiona kama unaitaka! ila kama we ni msomi unatakiwa ujue kwamba uwezo wa kujieleza hausomwi mahali popote pale! ni kipaji cha mtu ambacho anazaliwa nacho! huwezi kujifunza kujieleza wala hakuna cource kam hiyo! mnyika ni kichwa mbaya sana! kwa kifupi tu ni kwamba alimaliza F4 mAUA SEMINARY MWAKA 1999 n AKAPATA 1.7 ya A 9 na C ya Kiswahili! tafakari na chukua hatua!

Je waweza nipa link ambapo nitaiona hiyo CV ili nilinganisha na swifa anazo lundikiwa.
 
Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

Magreat thinkers kuweni macho na huyu mdini na kibaraka wa ccm. Kaingia hapa kuvuruga threcd nzuri... Tupe wewe ya kwako ambayo hata ingekuwa nzuri kiasi gani tungejua ni uchakachuaji kwani tayari uwezo wako unajulikana.....Sifa za kuwa mbunge zipo 3 na zimeainishwa katika ibara ya 67 (1) (a) - (c) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

:focus:
What i can say... Mnyika ni jembe
....
 
Barubaru kwa kweli mimi sikuelewi tatizo lako nini kwamba anyo yafanya mnyika huyaoni au kwa huna nasaba ya kidini na Mnyika kwa hiyo unaamini hawezi kufanya kitu kizuri mtu wa dini nyingine. Hivyo sivyo ''Who the Cap fit let them Wear it'' kijana anajitahidi katika nafasi yake na anjua kuzichanga karata zake sioni tatizo kama kile alichotumwa na watu wake.

Mbona chadema mnna double standard. Kule kwenye viti maalum kigezo kimojawapo kilikuwa skuli. Huku mtu akitaka kujua skuli ya mbunge imekuwa nongwa.

Kumbuka kwa swifa anazopewa siku hizi ambazo kwa kuwa sijaona CV yake popote naona kama ni promotion tu. Ndio maana naomba CV yake nilinganishe na swifa anazopewa.

Mimi binafsi nilistahajabu sana pale alipopinga kuhusu kuongezeka kwa nauli za kivuko cha kigamboni kutoka shilinh za kiTz 100 na kuwa 200.

Nilistahajabu kwa sababu bei ya kwenda kujisaidia kwenye choo cha jiji ni Tsh200 . Kwanini asilione hilo kwanza la bei ya kutumia choo akaone hilo la Kivuko.
?
lakin all in all CV yake ni muhimu sana kuiona li tujiridhishs na swifa anazopewa.

isije ikawa anapewa na kumezewa kila kitu ,yeye anakuwa msomaji

Skuli ni muhimu sana bungeni
 
Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

Jk ana shule gani? Mnyika huwezi hata kumfananisha na mwenyekiti wa chama cha magamba kwa uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo, IQ yake ni sawa na IQ za magamba wote including Vasco Cameroon Da Gama
 
Mnyika ni msomi kama hujui, ukioneshwa CV yake kuanzia msingi, secondary...., utajiona wewe ni kihiyo kwahiyo usipime! Ila vyeti peke yake havitoshi kukufanya wewe uwe kiongozi anaye perform kama mnyika! Unahitaji other skills, Kama ni elimu Nyie magamba mmesheheni wasomi wengi sana, why are you not performing kama chadema, mnagalagazwa kila siku na chadema kwa hoja!

Matusi ya nini ahali yangu.

Nimeomba jambo dogo tu CV ya Mnyika na nimeweka bayana kuwa nataka nilinganishe na swifa anazolundikiwa siku hizi. Kwani kwa uzoefu wangu wa kizamani wa Tz, kuna wengi wanalundikiwa swifa lakin ukiwapima kwa kauli zao au utendaji wao utaona tofauti sana.

Nilibainisha kitu kidogo sana huko Tz. Bei ya kulipia choo cha jiji kwa kujisaidia ni Tsh 200. Na bei ya kuvuka pantoni kigamboni ni Tsh100.

Nisingefikiria msomi au mwenye akili timamu angepinga ongezeko hilo. Na mtu makini kama Mnyika angekubali hilo na kuweka andiko lake la kupinga hicho.

Hapa ndipo ninapo pata mashaka na kuomba CV yake.

Jk ana shule gani? Mnyika huwezi hata kumfananisha na mwenyekiti wa chama cha magamba kwa uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo, IQ yake ni sawa na IQ za magamba wote including Vasco Cameroon Da Gama

Ndio kawaida ya watu wanaotumiwa yeye kazi yake kutoa wato out of the track na agenda yake kuu ni udini.... Kwanini usianzishe Thread yako ukaijadili CV ya Mnyika??
 
Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

Tofautisha kusoma na kuelimika. Shule sio makaratas ila ni kukua kwa akili kunakojidhihirisha katika fikra na matendo.Huyo kasoma na kuelimika
 
Hii thread ibadilishwe title sasa na kusomeka CV ya Mnyika na dini. Tumeshapoteza mada husika....
 
Hakika haya ni malezi mabaya sana kwa vijana wa Tz hususan wale wa Chadema ambao siku zote ukiuliza suala tu wao jambo l kwanza ni kukimbilia Udini na uCCM. Nimeuliza kitu kidogo tu. Mwenye CV ya mnyika anipe au anipe link niipitie naona jamaa munakuja juu kama nini.

Hivi kunani katika hiyo CV?

Mimi nilitegemea mtu atanipa link au kuibandika tuisoma na kama haipo basi ni bora kukaa kimya lakin sio kutoka mapovu na kuanza lugha za kejeli na dhalau.

waarabu tuna usemi. "Kukaa kimya ni sehemu ya mtu kupata darsa kuliko kupiga kelele kwa usichokijua"

Nawapa pole
 
Matusi ya nini ahali yangu.

Nimeomba jambo dogo tu CV ya Mnyika na nimeweka bayana kuwa nataka nilinganishe na swifa anazolundikiwa siku hizi. Kwani kwa uzoefu wangu wa kizamani wa Tz, kuna wengi wanalundikiwa swifa lakin ukiwapima kwa kauli zao au utendaji wao utaona tofauti sana.

Nilibainisha kitu kidogo sana huko Tz. Bei ya kulipia choo cha jiji kwa kujisaidia ni Tsh 200. Na bei ya kuvuka pantoni kigamboni ni Tsh100.

Nisingefikiria msomi au mwenye akili timamu angepinga ongezeko hilo. Na mtu makini kama Mnyika angekubali hilo na kuweka andiko lake la kupinga hicho.

Hapa ndipo ninapo pata mashaka na kuomba CV yake.

Ongezeko ambalo msingi wake ni kuongeza wizi kwa gharama ya wananchi waliopigika na serikali ya kipuuzi. Kwetu sisi Barubaru ni mtu asiye na msimamo wala mwelekeo, ila wewe una la ziada mwelekeo wa upuuzi.
 
Back
Top Bottom