Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

Namkumbuka huyu miss aliwahi kuwa pale IFM alikuwa benett na jamaa mmoja pale IFM aliyekuwa akionekana dhahiri kwamba ni shoga....ingawa kijana yule kwa taarifa nilizonazo ni kwamba alishatangulia mbele za haki...

Mungu amrehemu hayati Mack dm mzee wa Akiba commercial.
 
Nilimpenda sana Aminata enzi za unyange wake,alikuwa mzuri sana,Aminata Keita mnyange wetu alinimwaga na kukimbilia mabesela ya hatari tena mbalimbali Aminata.
 
hivi huyu aminata si ndo huyu huyu aminata wa jf? kwani sa hivi kashaolewa au bado?..Mia
 
Huyu Binti alikuwa hajatulia mpaka kwa yule tapeli wa Ki angola alikuwa hakosekani, naye kijana Kizogunz kaubeba sana msalaba wa chuma huu. ameacha kuvuta fegi huyu mnyange
Fegi labda aache dakika hii anavuta moshi vibaya mno...kuna kipindi cha nyuma alichizika flani hivi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom