Mnyama Nimpendae

Hata Makamo wa Rais anawapenda hawa wanyama...hapa yuko na mama Jane Goodall.......mzungu aliyehamia Tanzania kwa kuwa imejaliwa wanyama hawa..nasikia hata kule bustani za Ikulu walikuwepo kabla hawajahamia maofisini

05.jpg

mzee wa kufungua majengo,kakosa mkasi tu hapo angemkata huyo toy
 
Hawa wanyama wana akili na maarifa kidogo......hapa anarina asali kwa kutumia kijiti bila kuwaudhi nyuki

Mahale-Mountains-National-Park.jpg
 
Huyu Mnyama wenu mpendwa, mpeni basi Tano bora apumzike, khaaaa!!!!!

sleeping-gorilla.jpg
 
Jamani hebu tuheshimu viongozi wetu.....Wassira anaingiaje hapa?

Stephen-Wassira1.jpg

Saawaaah, lkn hebu tuambiane tu ule ukweli alipitapitaje ubunge huyu & ana sifa zipi hasa za yeye kustahili kuwa kiongozi na kustahili kuheshimiwa?! Siku zote, JIHESHIMU UTAHESHIMIKA!
 
Back
Top Bottom