Mnyama mwenye mkia mbele

van helsing

Member
Jan 7, 2011
13
0
Kuna vichaa walikuwa wakihamishwa kutoka bugando kwenda kcmc kupitia serengeti.
mbinu waliyoitumia ni kuwasafirisha wakiwa uchi ili wasitoroke na kukimbia
kufika mbugani,wakacmamisha gari kuchimba dawa, bahati mbaya mmoja wa vichaa akatoroka na kukimbilia porini,
akiwa anarandaranda porini akakatiza katika kundi la simba na fisi,
ghafla, wanyama wote wakakurupuka na kukimbia,
wakiwa kwenye mwendo huku wamejawa na hofu, mazungumzo yalikuwa hivi;
FISI; mkuu vp, mbona unakimbia nami nakuamini wewe ni mfalme wa pori huogopi chochote?
SIMBA;huku akitweta kwa hofu, akajibu; mdogo wangu ,wacha nikimbie, kwani kwa umri wangu wote na yote niliyopitia, ''SIJAWAHI KUONA MNYAMA MWENYE MKIA MBELE'':plane::plane::plane:
wakaendelea kukimbia kwa spidi 120km/min
 
dah! Haki ya nan hii ninaipa namba moja mana cjawah kucheka hv dah! Mmh! Kaka hii ya ukwel yan mkia mbele ha,ha,ha,ha,haaa....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom