Mnyama live bungeni!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Simba sc wapo ndani ya bunge ili kuwaonyesha wabunge mafanikio yao makubwa ya kuifunga Yanga na hatimaye kuitwaa ngao ya Hisani.Hakika mnyama anastahili pongezi kwa kumudu kuifunga Yanga na Hatimaye kujitwalia bonge la Ngao ya Hisani.
 
Simba Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mnyama anaungurumaaaaaaaaaaa
 
Hivi siku hizi jengo la bunge lekukwa uwanja wa mpira!!!! maana kila anayefunga na kupewa kikombe anakimbilia bungeni mbona sie wakutwaa kumbe la kuku na mbuzi hatupewi hiyo nafasi ya kwenda bungeni na kuku wetu ama mbuzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Simba hoyee.. ila hapa wanajaribu kusawazisha kosa la kuialika Yanga. Haya ni matokeo ya kuwa na spika mjinga mjinga .. bunge/choo?
 
Hii style hata siiungi mkono!! Ni upuuzi tena sana. Walianza yanga, waliniboa sikuona mantiki ya kufanya hivyo ilihali vilabu vina shida chungu nzima.
 
kwani mke akilala nyuma ya mumewe nae anageuka mwanaume? Bingwa bingwa tu kuanzia mash na kati na bongo kupewa ngao ya hisani ni kama kupewa cheti cha ndoa mliyoolewa na jangwani
 
Mmesahau kuwa mwenyekiti wa klabu ni mbunge so inawezekana wakawa ndo wageni wake!I mean Rage
 
Hivi siku hizi jengo la bunge lekukwa uwanja wa mpira!!!! maana kila anayefunga na kupewa kikombe anakimbilia bungeni mbona sie wakutwaa kumbe la kuku na mbuzi hatupewi hiyo nafasi ya kwenda bungeni na kuku wetu ama mbuzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wasiliana na Mbunge wenu, hakuna anayezuiwa kwenda kutangaza mafanikio yake pale mjengoni. Michezo ni Siasa!
 
jah hero amewakasirisha watumia masaburi
Mtani.................

Timu imeenda bungeni kufanya nini hasa?,kumsalimu Mwenyekiti(Mbunge wa Tabora) ama kuipeleka Ngao ya jamii....Kama imeenda kwa ajili ya kupeleka Ngao ya jamii/kupongezwa kwa kuifunga Yanga basi kitakuwa ni kituko cha mwaka........

Yanga walienda bungeni baada ya kuliletea sifa TAIFA kwa kutwaa UBINGWA wa AFRIKA MASHARIKI NA KATI(CECAFA KAGAME CUP) mashindano ambayo yalishirikisha timu za nchi 10 wanachama wa CECAFA ambazo ni Tanzania,Kenya,Uganda,Burundi,Rwanda,Sudan,Djibout,Somalia,Ethiopia na Zanzibar.........Ni kichekesho Simba kwenda bungeni kupongezwa kwa kuitwaa NGAO YA JAMII..........Labda waende kama wageni wa Mwenyekiti wao Mhe. Ismail Aden Rage
 
Bunge limekuwa Kama CHOO! kila anayejisika kwenda ana kwenda..sitashangaa nikisikia mkulima ameuza magunia mawili ya vitunguu, naye kwenda bungeni kuomba pongezi.
 
Hivi siku hizi jengo la bunge lekukwa uwanja wa mpira!!!! maana kila anayefunga na kupewa kikombe anakimbilia bungeni mbona sie wakutwaa kumbe la kuku na mbuzi hatupewi hiyo nafasi ya kwenda bungeni na kuku wetu ama mbuzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huu sasa ni upuuzi,ule ubao ndio wa kupeleka bungeni?Unazi mwingine wa wabunge wetu umekithiri.
 
Back
Top Bottom