Wala sio uongo. .
Au unadhani kadada kana umbo nambanane unakutana naumbo la mnazi au sanamu la michellini kama wenyewe wanavyoita.
Naombeni tukutane mpwapwa bwana. Mi sipajui huko dar.
teh teh teh hapo chacha. Ila i guess ww mrembo bana
haya bibie kuna raha gani huko mpwapwa?!
Sioni sababu ya watu kuwa waoga kukutana.
Niogope nini? As long as mimi sio mhalifu,mimi sio fisadi, mimi sio haramia, mimi ni raia halali na mtumishi wa umma wa watanzania.
Na hatuwezi kuonana bila kujuana kwa Id mana hakutakuwa na mvuto.
Imagine furaha mtu utakayo pata unabadilishana mawazo na mtu huku anajimbulisha kwamba yeye ndio Bujibuji, Kongosho, Lizzy, Asha Dii, Maria roza, R. Roulete, Fe lady, Sweet ladyg, Preta, Jestina,Nyamayao,Nyumba kubwa, Kloro, The boss, finest, St ivuga, Masanilo, Vivian,figaniga, N. Ngabu, Asprin, Paka Jimmy, mr Rocky na wengineo weengi, tukijuana kwa id zetu hapo ndio patakua na mvuto wa aina yake mana kila mtu atafurahi kumjua mwenzake.
Kichekesho ni kwamba yule uliyemdhania ni mdada mrembo utakuta na kibii kizee, au kidume, kibabu n.k dah itabidi kuwepo na raundi ya chimpumu kwa kuwaenzi wazee wetu watakaokuwa hawatumii byuariz
Nawasilisha
Don't bet on it.
Usije ukaomba uwekwe meza moja na Lizzy kinywaji kikakataa kushuka.
raha zipo nyingi. Ukija hutotaka kurudi. Lol
haaah haaa waapi ww mrembo jamami
Hahahaha!!! Preta mbuzi wa kizungu hao....Mmmmmh.....we Finest wewe...... hao ni mbuzi kweli......huto tu masaburi ni twa mbuzi........?
Mkuu hii makitu nanikumbusa mnadani Mpwapwaaaaaaa...... Muguu ya nyuma bk 3... biere palepale...nilisahau masahibu yangu ndani ya sekunde...
Mkangafu....Mdindifu... Kibuku... vipo?Ningeomba wana MMU wooote tukutane xmass hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo live na kuifurahia siku kuu hii kwa pamoja tukila na kunywa. Nitajitolea round moja kwa kila mtu. Nimeona nifanye hivi kwa upendo tu kwa vile humu jamvini ni kama tumekuwa kama familia sasa. Tumeshauriana mengi sana na kujifunza mengi kupitia ushauri au mda wanazotoa memba wengine. HAKUTAKUWA NA HAJA YA KUJITAMBULISHA ID YAKO YA MMU. (Ikiwepo hii watu watasusa najua)
Basi pia ningeomba mpendezeke sehemu ya kukutana na mda. (sehemu ambao itapendekezwa na memba wengi ndio itapita)
Karibuni sana kwa mapendekezo. Waweza kupendekeza siku hiyo kuwepo nini ili kutia nakshi zaidi
Shauri lako. . . usije ukafake urgent call tu maana ntajua.
Mbona naona story tu? Venue hakuna?
Wewe unaufahamu tu wa Lumumba. Tz hii kila mahali kuna kumbi na viwanja vya CCM! Tatizo JK akija watu mtaanza kujichekesha chekesha ovyo kama wale jamaa wa jumapili ikulumkuu hivi pale ccm-Lumumba si mna ka ukumbi au?fanya mpango basi tufanikishe tukio, ongea na Jk awe mgeni rasmi.
Wewe unaufahamu tu wa Lumumba. Tz hii kila mahali kuna kumbi na viwanja vya CCM! Tatizo JK akija watu mtaanza kujichekesha chekesha ovyo kama wale jamaa wa jumapili ikulu