Mnisaidie kunielekeza jinsi ya kuweka video links kwenye blog

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Nimejaribu kuweka Link kwenye za video kutoka youtube kwenye blog yangu ila imegoma,pia ni mbinu gani nitumie kuweka mp3 songs kwenye blog?
 
hiyo blog yako unahost wapi? Manake ni vizuri ukawa una upload mwenyewe file zako then watu wadownload kutoka source yako kulink si vizuri. Sehemu unayohost ina support php?? Kuna script nzuri tu za video youtube search google.
 
Kama unajua HTML inakua rahisi kuna jinsi unaingia youtube unachagua viideo then unachukua code zake halafu unaembed kwenye blog yako.

hama hauna knowldge ya HTML tell me nitakusaidia kuimbed.
 
Fanya hivi
1. nenda wenye video au clip unayotaka youtube
2. Chini ya video utona kuna button kama Like, add, share , etc . Chagua share or embed
3.Then kama alivyokuambia mdau hapo juu chagua embed . Utaona script kama hii
HTML:
<iframe width="560" height="349" src="http://www.youtube.com/embed/YbxRp6Dg_VQ" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
. Copy hiyo script ipeleke kwenye blog yako na paste sehemu unapotaka kuiweka.

NB
Unaweza kurekebisha width na height kuata size sahiihi unapenda na inayofit kwenye page yako
 
Mkuu ingekuwa rahisi kukushauri kama ungetaja aina ya blog unayotumia kwa mfano Wordpress au Blogger, kwani kwa baadhi ya blogi kuna njia za mkato bila ya ku-embed wala kujua HTML.
 
Fanya hivi
1. nenda wenye video au clip unayotaka youtube
2. Chini ya video utona kuna button kama Like, add, share , etc . Chagua share or embed
3.Then kama alivyokuambia mdau hapo juu chagua embed . Utaona script kama hii
HTML:
<iframe width="560" height="349" src="http://www.youtube.com/embed/YbxRp6Dg_VQ" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
. Copy hiyo script ipeleke kwenye blog yako na paste sehemu unapotaka kuiweka.

NB
Unaweza kurekebisha width na height kuata size sahiihi unapenda na inayofit kwenye page yako

mkuu uko vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom