Mnijuze kuhusu Star times wadau!

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Duh sisi wateja wa star times kwa kweli hatutendewi haki maana tunalipia elf tisa kwa mwezi ili tuone nn yaani kila channel ambayo ni ya muhimu inaandika non conax programme!ss nashanga hata mashindano tu ya ndani kama Kili music Award hakuna channel inayoonyesha me inanitia shaka hapa kabisa,elf 59000 plus antenna 25000 plus 9000 kwa mwezi yaani bado patupu duh msaada wa mawazo wadau!
 
Upgrade your decoder,jamaa sio wezi acha kulalama!umewapigia kastama care? Wamekujibuje? Watanzania tuache kulalama kila saa
 
Upgrade your decoder,jamaa sio wezi acha kulalama!umewapigia kastama care? Wamekujibuje? Watanzania tuache kulalama kila saa
Mkuu, how can one upgrade his decoder?
So far what i know ni kwamba inachakachuliwa na wajanja...is that the upgrade you are talkin' bout?
 
Cha kushangaza hata castumer care wenyewe simu zao hazipatikani and hw can I upgrade my decoder?
 
kiukweli star times hakuna jipya. Watuwekee vipindi vya maana ndio nitalipia tena
 
Cha kushangaza hata castumer care wenyewe simu zao hazipatikani and hw can I upgrade my decoder?

Upgrade decoder? hapo hata mie sijaelewa.

iko hivi, check kama baada ya kuchomeka antena kale kataa ka Signal kanakuwa yelowish flani hivi, kama bado kekundu basi hakuna signal hapo na inabidi ucheze na antena kwa star times ni muhimu sana sana ku-direct antena sawasawa wenyewe huwa wanasema direction ya kisarawe.
 
Me siwezi kulipia tena kifupi nimechokaaaaaaaaa!!!!
 
hicho kitu ni kimeo!bora uwe na hata lile dish la bure unaweza kuburudika na channel za kibongo na mapicha ya ki Nigeria.
 
Heri mie natumia TING decoder kuna ATN, ITV, EATV, Channel Ten, Aljazeera, KBC, DUBAI SPORT(wanaonesha bundesliga LIVE) Emmanuel,TBC1 za dini kibao so kwa sasa zipo 21 lkn wanampango wa kuongeza mpaka 42 ifikapo April, hakuna chenga wala mchanga swaaafi. ATN wanaonesha live Champions league.
 
mm mwnyewe nlkaa km 3mnth cjalpia, wakaw wananicol, vp mteja una ttzo gn? Mbna huji kulpia kng'amuz chako, nmeenda kulpia juz, najuuuuta coz nthng new kwa kwel, haina isue za maana! Naungana na ww, ctalpia tena!
kiukweli star times hakuna jipya. Watuwekee vipindi vya maana ndio nitalipia tena
 
hata hz za star times hazna chenga. Hakuna vpnd vya maana zaid ya Aljazera, Tbc 1&2, Bbc, Chanel 10, Clouds tv, zlzobak hazna v2 vya maana!
Heri mie natumia TING decoder kuna ATN, ITV, EATV, Channel Ten, Aljazeera, KBC, DUBAI SPORT(wanaonesha bundesliga LIVE) Emmanuel,TBC1 za dini kibao so kwa sasa zipo 21 lkn wanampango wa kuongeza mpaka 42 ifikapo April, hakuna chenga wala mchanga swaaafi. ATN wanaonesha live Champions league.
 
mimi nina mwezi wa pili sijalipia maana hakuna cha maana ukijumlisha na mgao wa umeme...
 
Mimi natumia Star Time na inafanya vizuri sana. Ila nilifanya kosa nikalipia kwa mwaka hii inani-cost ikifika mwisho wa mwezi wanakata inabidi niende kwao kwani ukiwapigia hawapokei simu. Lakini kuonekana kwake ni kuzuri sana kwa upande wangu. Na-enjoy El jazeera, CCTV, Citizen, e-channel, KBC1 na za South Africa, pia kuna nyingine nyingi tu, Champions League KBC1 wanaonyesha
 
KIMOKOLE please tupe bei ya Ting mkuu maana kwa wachina hali ni mbaya ss?
 
Back
Top Bottom