Mnaudhiiiii.................

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Inakuaje unamwambia msichana,nna gf wangu..lakini hakuelewi??..siongelei hapa jf,imetokea huyu mdada ananisumbua sana,sina amani.mpaka nikiwa na gf wangu naweka cmu silent.aggggggggggyyyyyyyyyyyy
 
pumbaaaaaav!!!!!!!!!! unatupotezea muda hapa. Post ujinga wako kwenye maudaku huko. Hapa ni magreat thikers only. never back here with your rubbish.
 
HATA WANAUME WAPO WANAoudhi limtu ulitaki linapiga simu tena usiku mzito sijui vile ni bure? nachukia yaani wewe acha tu sijui anakuwa anataka muongee nini
 
Mwambie una twin anaitwa Gambino, kisha piga pande hapa, vinega huwa haturembi, wa dizaini hiyo ni kuwapa mitarimbo tu

Il Gambino
 
Povu la nini? Matumizi mabaya ya resources hayo, litunze tutalifualia Jmosi

Ndo naye kawaza ivo.

Mtoa mada, unajua kujibost in ur own way.

pumbaaaaaav!!!!!!!!!! unatupotezea muda hapa. Post ujinga wako kwenye maudaku huko. Hapa ni magreat thikers only. never back here with your rubbish.
 
Inakuaje unamwambia msichana,nna gf wangu..lakini hakuelewi??..siongelei hapa jf,imetokea huyu mdada ananisumbua sana,sina amani.mpaka nikiwa na gf wangu naweka cmu silent.aggggggggggyyyyyyyyyyyy

mbona unalia..?:eyebrows:
 
muombe mtandao...uone kama atarudi, na akikubali mwambie hapo no signal
 
hata wanaume wapo wanaoudhi limtu ulitaki linapiga simu tena usiku mzito sijui vile ni bure? Nachukia yaani wewe acha tu sijui anakuwa anataka muongee nini

we ulimpa namba yako ya nini kama humtaki acheni hizi bana
 
Inakuaje unamwambia msichana,nna gf wangu..lakini hakuelewi??..siongelei hapa jf,imetokea huyu mdada ananisumbua sana,sina amani.mpaka nikiwa na gf wangu naweka cmu silent.aggggggggggyyyyyyyyyyyy
kwasababu anajua huyo ni gf tu sio mke wako so naye anajaribu kutupa ndoana yaweza kunasa anaibuka bingo je.............hata wakaka wako ivoivo ukimwambia una bf anajua kumbe bf sio mume so nayy anajaribu kutupa karata mshindi ni yule atayeingia kanisani na kimwana au mshikaji so thats how we play meeeeeeeeeen
 
kingine mi nakushauri kua nao wote wawili alafu uangalie nani analipa zaidi ndio uingie naye kingi ok............mana waweza kumsitiri uliye naye kumbe naye naajipumzisha tu hapo kwako bado anasafari ndeeeeeeeeeeefu.........
ZINDUKA MEEEEEEEEEEEEEN
 
Inakuaje unamwambia msichana,nna gf wangu..lakini hakuelewi??..siongelei hapa jf,imetokea huyu mdada ananisumbua sana,sina amani.mpaka nikiwa na gf wangu naweka cmu silent.aggggggggggyyyyyyyyyyyy

mpe bi mkubwa hiyo simu yako, awe anapokea yeye.
Lakini huyo msichana anayekusumbua lazima ulisha wahi kumfanya matusi
 
HATA WANAUME WAPO WANAoudhi limtu ulitaki linapiga simu tena usiku mzito sijui vile ni bure? nachukia yaani wewe acha tu sijui anakuwa anataka muongee nini

mkome kuwapa namba zenu makonda wa daladala, tuopeni sisi waendesha guta, tunachoka ile mbaya, saa moja usiku macho yote mazito kutokana na uchovu na usingizi
 
kingine mi nakushauri kua nao wote wawili alafu uangalie nani analipa zaidi ndio uingie naye kingi ok............mana waweza kumsitiri uliye naye kumbe naye naajipumzisha tu hapo kwako bado anasafari ndeeeeeeeeeeefu.........
ZINDUKA MEEEEEEEEEEEEEN

Hapa siri ya jinsia yako imefichuka, lazima wewe ni dume jike
 
Back
Top Bottom