mnatutega?

article-1060310-02C196E100000578-672_468x286_popup.jpg

...ndio maana nikakwambia inatosha.
Kwahiyo katika hitimisho ndio tunakubaliana lengo, nia na madhumuni ya
kina dada/mama kuvaa kivazi hiki (fashion ya hii) ni kututega?

Balaa sana basi na ndoa zetu hii za 'mshumaa'...!

Tafsida hii nayo imenitoa kapa!

Binadamu tunatofautiana sana kama Mbu wanavyotafautiana LOL.
Kuna wenye kuona raha kuleta tafrani katika mioyo na vichwa vya watu kwa jinsi wanavyovaa mivao ya kutia watu majaribuni.Kuna wenye kuvaa wakajali kupendeza na pia hapohapo kuweka staha.
Wastaarabu wanasema ...ukitaka kujipima wewe ni mtu wa namna gani vivazi vyako vitakuweka kwenye mizani.
YOU SHOULD BE ABLE TO STOP A CONVERSATION UPON ENTERING A PLACE AND NOT START A CONVERSATION!
#Ukianzisha gumzo uingiapo mahali ujue umechemsha.Unatakiwa ukiingia..watu wabaki midomo wazi..akili ikifanya kazi ya ziada kujiuliza NI NANI HUYU? na siyo kuanzisha minong'ono..ukivaa camel's foot iko nje nje ujue utaanzisha minong'ono na umbeya.
 
Mh patamu hapo! sasa hapo usipogeuza shingo we si mzima bana kha! Ivi daladala wanapanda kweli assume hakupata siti then mmesimama wote salalee ndo yale yalee ya mluzii kulia!!Lol!!
 
...lol, haya bana...

'ndoa za mshumaa' si unajua tena upepo ukija msukosuko wake? kila mtu anakimbilia kukinga mikono 'msijelala kizani'!
 
Paka kuhisi ati sharubu zake zinachezewa halafu achumpe akifikiri amepata panya kiulaini anaweza ishia pabaya.
Hizo camel's toe or is it camel's foot waachieni wenyewe..kwani mnadhani hawakujiangalia kwenye kioo kabla ya kutoka majumbani mwao?
MBONA wakaka wakipakia mizigo yao ovyo ovyo hawatutamanishi na badala yake wanatutia kichef chefu..arrggghhhhh!

Haujawahi ona mzigo ukiwa mahala pake we mbona utautetemekea?
 
hilo vazi lapaswa kuvaliwa na kitu juu yake.
lakini wabongo kwa ushamba wao utakuta mtu anavaa na kablouse kafupi
halafu leggings zinapendezea zaidi mtu mwembamba kiasi chake unakuta mtu mnene makalio hayo mahips balaa naye yumo tu mama nsipitwe
kutegegka hapo inakuwa lazima.
Mbu usijali ni vijimambo tu hivyo vya mpito wala visikusumbue akili.

JS, this happens all over the world na sio kwa wabongo tu!!!
 
Hehehehe dah sasa mtu unakuta ana bonge la fulushi nyuma ana vaa vimnela mumo hivyo si balaa full mfadhaiko.
 
waache watutege..............ila tuchukue tahadhari ya kuwakwepa...........
 
ila hapa hapatoshi wandugu.....tutapona kweli??????????????
Mh patamu hapo! sasa hapo usipogeuza shingo we si mzima bana kha! Ivi daladala wanapanda kweli assume hakupata siti then mmesimama wote salalee ndo yale yalee ya mluzii kulia!!Lol!!
 
article-1060310-02C196E100000578-672_468x286_popup.jpg

...ndio maana nikakwambia inatosha.
Kwahiyo katika hitimisho ndio tunakubaliana lengo, nia na madhumuni ya
kina dada/mama kuvaa kivazi hiki (fashion ya hii) ni kututega?

Balaa sana basi na ndoa zetu hii za 'mshumaa'...!

kaka Mbu ukipishana na hawa we kaza roho tu...wengine wanafanya makusudi kwa sababu wanapenda attention na wanapenda kugeuza shingo za watu hasa wa jinsia tofauti..wengine ni katika harakati tu za kutaka kuonekana classy ila kwa kukosa ujuzi wanalikoroga halafu wanaishia kuonekana trashy
 
Hamna lolote! mnajitega wenyewe.acheni kutamani muone kama mtategeka.Kila jambo linaanzia akilini bwana.Ukiamua ndivyo inavyokuwa.Control yourself man! ebo!

Huwezi control nature bana haya mambo yanakuja by nature otherwise sio rijali lazima ukumbwe na dhoruba kali ya msisimko mwilini mwe!
 
...lol, haya bana...

'ndoa za mshumaa' si unajua tena upepo ukija msukosuko wake? kila mtu anakimbilia kukinga mikono 'msijelala kizani'!

Zipo pia za 'umeme wa tanesko', adha ya mgao usiseme!
Nyingine za 'kibatari', ni kama mshumaa, pia kuna kuishiwa mafuta ya taa!
'Jiko la mkaa' linakolea kweli, lakini inategemea mkaa wa nini. Mkaa wa mbuyu ni tofauti na mkaa wa mnazi, wa mgunga, wa msonobari nk!
Siku hizi pia kuna solar, jua likizama kwa heri.
Rechargeable pia zipo, ila wachina wameharibu biashara kwa bidhaa feki. Unaichaji inaonekana 'full', lakini ukitumia dakika chache tu inakupa signal ya 'battery empty'.

Na hayo ma-leggings sasa! Tunajiju au tunajiju.....!
 
....duuuuh, :D:D:D aisee wewe ndio umetoa ufafanuzi murua!

...hiyo ya ku recharge baada ya muda kidogo 'stimu' inaishia inafanana sana na wale wanaonuniana siku nzima, ukaribu wao usiku kwenye tendo la ndoa ...wakimaliza kila mtu anageukia upande wake!

Haya ma leggings yataka moyo kutotizama mara mbili tatu kuhakikisha unachokiona, ...anyway, kuanzia sasa najisemea kimoyo moyo, " sizitaki mbichi hizi!"
 
Back
Top Bottom