Mnatunyima konsetresheni!!!!

Epuka Tamaa Mbaya, usiuendekeze sana mwili.
Nia ya mwili sio nzuri, Mwili hushindana na roho.
 
Wasipoweka mitego na kupendeza nani atawataka??Lazima watutamanishe ili na sisi tutamani la sivyo hata macho hatugeuzi.......

Pwambafu!! Kama siyo rijali basi kakae zako huko. Loooo!, unataka kutamanishwa wakati wote!! Ninyi miafrika ndiyo maana mnaendelea kuwa maskini siku zote kwa sababu mawazo yenu wakati wote ni ngono.
 
inategemea . . .
sio kila mwanaume ni mdungaji au sio mdungaji

Wapotezee mshikaji mademu wa chuo noma sana wataanza kukuzingua kila kitu mamekapu yao, mara disko mara voucher mie nawapotezea kinoma msela wangu wananijua vizuri sana mie sifagiliii usister du.

Tena chuo kwenu noma watoto wanaletwa na ndege toka bongo basi wanazinguaaa mie sifagilii kabisa
 
we dont lalamika mamii, we advice . . . lol

Hata wakivaa kama wale wanawake wa culture ile ingine wakafunika mpaka kope za macho, kama huna uvumilivu ni hauna tu. Just potezea tamaa mbaya.....
 
huyo anaesema waislam wanajistiri uongo m2pu hayo mabaibui cku hz ndo yana2mika kuwatega wanaume solution wanaume 2we uso wa mbuzi hakuna kucheka.
 
nakumbuka siku moja (dsm) nilikuwa nafanya paper then upande wa kushoto aliingia mdada mmoja ambaye alivaa kimini kitambaa chepesi sana, wakati anaelekea kukaa wa2 wnegi walikuwa wanamwangalia ikiwa pamjo na mimi. kwa kuwa mimi nilikuwa karibu zaidi niliona zaidi, kufuli whiiiiiiite.
shori bila wasiwasi alifanya kama ananikonyeza ivi, then mie nikasimile. kwa kuwa nilikuwa na ukame sana (mchumba wangu alikuwa songea) nikuwa kama nimedumaa ivi kiakili kama dk15 ivi, akili imehama kabisa.

then the moment nilipata akili kuwa hii ni paper yangu ya mwisho, then nilikoncetrate kwenye paper 100%.

Wanafunzi, ni lazima wachague na kuaamua.
ayo mambo yapo adi kazini/mitaani, kuna baadhi ya ofisi/mitaa kazi aziendi kwa sababu ALAJA nyingi sana kila kona.

kama we ni kijana funza mwanao angali mbichi.
 
Ukiona mini kama hii yangu hapa geuza shingo pembeni utashinda majaribu yote
 
Mimi ni mkristo, lakini katika suala la mavazi ya siku hizi hasa ya akina dada naomba na kuunga mkono sharia ya kiislamu itawale Dunia.


Maana wakristo tumekuwa softi sana katika suala la mavavi kiasi imefikia akina dada wanakuja kanisani na mavazi ya beach na disco halafu utakuta hata bila aibu anapita mbele kupata Chakula cha Bwana!

:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Wote tubadilike, me binafsi navaa kombat monday to friday lakin bdo tu wanatongoza. Vijana wa cku hizi wabangubangu.
 
nilikuwa pale chuoni nit juzijuzi niliyoyakuta pale natamani yesu arudi haraka sijui vyuo vingine ni vipi.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom