Mnatunyima konsetresheni!!!!

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325

HABARI ZA WEEKEND WAKUU

LEO NIMESOMA KATIKA GAZETI LA THE CITIZEN, MALALAMIKO YA WANAFUNZI WANAUME KATIKA VYUO HASA VYA TANZANIA, KUWA UVAAJI WA KINADADA KATIKA COMPUS UNAWALETEA MATATIZO HATA WANASHINDWA KUSOMA KWA SABABU MACHO HAYANA PASIA.

KWA HIYO WANAPENDEKEZA ATI, SIRIKALI ILIANGALIE UPYA HILI SWALA , KWA KUITRODUCE CODE ITAKAYO FANYA WANAFUNZI WA KIKE WASIVUKE MIPAKA. HILI JAMBO LINAONEKANA KUWA LETEA TAABU HATA WALIMU WAO KWA KUSHINDWA KUVULIA VILE WANAVYO ONA.

WENGINE WAMEPENDEKEZA KUWA UVAAJI SI TATIZO LA KINA DADA TUU BALI NI LA WOTE, KWA HIYO UNIFOM ZIVALIWE HATA VYUO VIKUU ILI KULETA KATIKA MSTARI JAMII YOTE.

SASA JE NI KWELI WANAUME MNASHINDWA KUSOMA??. .

312.jpg

ILA NAHISI KUNA KAUKWELI FULANI. LABDA TUPATE JIBU KWANINI WANAFUNIKA NUSUNUSU??
 
tabutupu bwana
hao sirikali mambo kibao ya chuoni yamewashinda ndo itakuwa kuwanunulia wanachuo SARESARE???
 
tabutupu bwana
hao sirikali mambo kibao ya chuoni yamewashinda ndo itakuwa kuwanunulia wanachuo SARESARE???

heheheheh, sare wanaleta, Ila ukisema mambo mengine wataleta ule mwasho kama jana.
 
Kama shule imewashinda, acheni. hatajawaalika kutuchunguza.
Kweli kabisa dada..... ila wamekosea kutoa malalamiko yao.... tatizo sio nguo.... bali mitego ambayo ukichanganya na nguo mambo inakuwa siyo!!! Mabinti wa siku hizi sijui wanaenda shule kujifunza kutega au ni nguvu za yule muovu ndio zimezidi!!!!! :shetani:
 
Mimi ni mkristo, lakini katika suala la mavazi ya siku hizi hasa ya akina dada naomba na kuunga mkono sharia ya kiislamu itawale Dunia.

Maana wakristo tumekuwa softi sana katika suala la mavavi kiasi imefikia akina dada wanakuja kanisani na mavazi ya beach na disco halafu utakuta hata bila aibu anapita mbele kupata Chakula cha Bwana!
 
Wasipoweka mitego na kupendeza nani atawataka??Lazima watutamanishe ili na sisi tutamani la sivyo hata macho hatugeuzi.......
 
Mimi ni mkristo, lakini katika suala la mavazi ya siku hizi hasa ya akina dada naomba na kuunga mkono sharia ya kiislamu itawale Dunia.

Maana wakristo tumekuwa softi sana katika suala la mavavi kiasi imefikia akina dada wanakuja kanisani na mavazi ya beach na disco halafu utakuta hata bila aibu anapita mbele kupata Chakula cha Bwana!
Mwishoni mwa mwaka jana pale mtaa wa Samora alipita dada mmoja kavaa mini ambayo inaishia chini ya makalio na kavaa high heels sasa kwa bahati mbaya akaanguka kumbe alikuwa hajavaa ch*pi na kama sio mama mmoja kumfunika na kanga haraka ilikuwa aibu tupu.Yule mama akamwambia na kanga chukuwa tu usije mjini hivi.
 
Mimi niko chuo St. Augustine Mwanza kina dada kweli mavazi wanayovaa si mazuri lakini unajitahidi kuwapotezea tu kwani lazima uwaangalie??

Mie hata mpenzi hapa chuo sina yuko home Geita hapa shule ni noma .

Mshikaji kama unaona wanavaa vibaya we wapotezee tu utafeli bure
 
inategemea . . .
sio kila mwanaume ni mdungaji au sio mdungaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom