Mnashangaa Bilion moja! mbona hivi ni vijisenti tu

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
haya yalikuwa ni maneno ya Mh Chenge kutokana na chenji za rada alizopewa kama zawadi akaziifadhi kule Uswisi...Leo kauli yake imetimia,tunaambiwa Kumbe ziko zaidi Ya Bilion 300 (million 300,000) huko Uswisi.

hawa viongozi wanajuwa wanachosema huwa hawaropoki tu na kweli sasa naamini billion moja ni visenti tu.
 
Mkuu sahihisha posti yako, Chenge hakupewa zawadi bali alipewa rushwa ili akubali kuongeza malipo ya rada kutoka bei halisi na kuwa bei ya ufisadi.
 
Mkuu sahihisha posti yako, Chenge hakupewa zawadi bali alipewa rushwa ili akubali kuongeza malipo ya rada kutoka bei halisi na kuwa bei ya ufisadi.
mkuu umesahau kipindi kile ndo kaneno takrima au zawadi kalikuwa kanatumika sana... ilikuwa ni rushwa
 
Back
Top Bottom