Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,990
- 7,364
That is a complement indeed,He seems to be at list 40 years old (physically) with a mental age of a minor. And that is a complement, if I am to be honest!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is a complement indeed,He seems to be at list 40 years old (physically) with a mental age of a minor. And that is a complement, if I am to be honest!
Huo ni ubishi wa kitoto. Practicality, kuwa mkweli wa nafasi yako kwanza, kabla ya Kikwete kuja na vibajaji kulikuwa kuna kipi?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya picha na kinachotokea.
Mimi kamamdau wa Afya na Elimu......nimepita kwenye hospitali za wilaya kama 10 ndani ya mwezi uliopita.
Hizi takataka zipo zimehifadhiwa kama zilivyopokelewa. ... Mpyaaa!!
Kuna wale walioamua kufungua huo uchafu hapo pembeni na kujipatia usafiri wa pikipiki.
Issues ni mbili:
1) nani aziendeshe? muuguzi au dereva?
2) Zitapita wapi? hiyo takataka inaweza kumtoa mtu Kifura kwenda Kibondo hospital?, Inaweza kumtoa mama mjamzito Muyama kwenda Kasulu DH? atafika? akifika itakuwa baada ya masaa mangapi kama sio 10 Hrs.
Nimeshawasiliana na fundi aje kukifanyia modification kimoja kati ya bajaji 39 ninazomiliki.
Hongera zomba. Kwa vile unavyo vingi nakushauri badala ya fundi ku-modify kimoja bora a-modify kama vinne hivi ili vingine ufanye vyumba vya wageni na choo. Pia aviunganishe kama vibehewa vya treni.
hahahaha. Nilidhani utashauri aunge viwili. Hicho kitambi na urefu ataenea humo?
Nawasikitikia Watanzania wanapoletewa suluhisho la ubunifu, rahisi na la haraka wanapoliponda. Tazamaeni wenzenu, hivyo hivyo vibajaji wanavifanya nyumba za kuishi:
Semeni.
Nawasikitikia Watanzania wanapoletewa suluhisho la ubunifu, rahisi na la haraka wanapoliponda. Tazamaeni wenzenu, hivyo hivyo vibajaji wanavifanya nyumba za kuishi:
Semeni.
Huo ni ubishi wa kitoto. Practicality, kuwa mkweli wa nafasi yako kwanza, kabla ya Kikwete kuja na vibajaji kulikuwa kuna kipi?
Na mazingira yetu yenyewe haya mi nadhani it is appropriate for emergencies
but I am not sure it is appropriate kwa wanawake wazito au wagonjwa fulani
Unajua siku zile hapo nyuma ilipoandaliwa debate kati yako na mtu fulani mwengine nlikuwa bado sijaelewa ni kwa nini iwe wewe hasa na sio member mwingine yeyote wa jf bwana zomba....nimegundua, you are impossible mkuu!!hakika uliwapa walimu kazi ya ziada sana shule...