Mnapopigana "vibuti"...

sio vyote vinarudishika jmn na mnapo achane sio lazima muwe maadui ni vizuri kubaki navyo maana vitakukumbusha kuwa once in a lyf tym ulikuwa na mtu fulani
 
Nadhani wadau tumeliongele hili swala kwa level ya chini sana vitu kama simu, chu**, nguo, picha, havina haja kurudishiana ila magari, nyumba, miradi, shamba, duka siwezi mwachia huyo mwanamke kwani wengi wetu wanaume tunaojitoa mara nyingi tunaibiwa na kudhulumiwa. But ni vyema ukaweka wazi kuwa in case of separation ni vitu gani virudishwe.
 
bora muachane kwa amani pasipo kutukanana wala timbwili lolote lile........always future is uncertain
 
Back
Top Bottom