Mnapata wapi muda?

Jamani wenzangu mnapata wapi muda wa kujadili mapenzi kwa hali ya taifa ilivyo sasa.... tunakufaa... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..

Aisee data tuko pamoja mkuu; mimi pia linanishangaza kumbe tunatofautiana sana na ndo maana utashangaa mtu hata kwenye daladala unasikia ataka kumbaka mwanamke. Katika matatizo kama haya sisi wenye uchungu na nchi huwa ngumu sana kuwaza mapenzi.

Ili pia nahakikisha haya mambo hayaninyimi kufurahia haki yangu ya ndoa kwani kwa kufanya hivyo tutakuwa tumenasa kwani raha ya mafisadi ni kuona wao tu wana raha wakati wengine wanaendelea kuteseka.
 
Jamani wenzangu mnapata wapi muda wa kujadili mapenzi kwa hali ya taifa ilivyo sasa.... tunakufaa... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..

Kwa upande mmoja unaweza kuwa na point. Utilitarians wanaweza kusema mapenzi ni kitu kisicho concrete, hakipimiki, ni imani. In short fluff. Kwa hiyo mambo kama uchumi na siasa yachukue umuhimu zaidi, hasa kwa muda huu mgumu.

Wengine watasema mazee sio kila mtu jionikisomo, wengine hawataki kusikia siasa kabisa. Wengine wanakwambia hizo habari zenu za demokrasia na mapinduzi ni ndoto tu, mifano ipo huko Cuba Castro kapigana na Batista kuondoa ubeberu, kaja kuchukua nchi miaka 50 anaendeleza ubeberu. Afrika watu wamepigana kutoa wakoloni weupe, wakashangilia sana kupata uhuru, leo wanashtuka wamemtoa mkoloni mweupe lakini wamemleta mkoloni mweusi. So what's the use of being overly political wakati wanamapinduzi wa leo ndio mabwanyeye wa kesho? Muangalie Museveni, muangalie Mugabe etc.

Kwa hiyo, tukae tukijua "beauty is in the eye of the beholder". Kama usivyoweza kumchagulia mwanamke/mwanamme mzuri mwenzako, vivyo hivyo si sawa kumchagulia mwenzako topic za kuchangia.

After all diversity yetu hapa ndiyo inatufanya tuwe interesting. Leo utaanza kusema wote tuchangie siasa, kesho utataka wote tuchangie siasa kama CHADEMA na kuendeleza kutuchagulia kundi hata huko.

Si uungwana huo. Kama hupendi mapenzi usisome posts zao.

Usijione una higher calling / holier than thou wakati hujui watu wakoje. Mtu ambaye ana jua anakufa within a month kwake kucheka na kufurahi kunaweza kuwa muhimu kuliko tilalala za 2015. How can you judge such a person, just to take one example.
 
wee samahani ..sikuchagulii uende wapi.. i was wondering how to go on lovin .. while im so stressed.. kumbuka kila mtu anachanzo cha mapato.. na pesa ni kila kitu ktk mahaba.. that my side
 
Back
Top Bottom