Mnapajua Makalio Baa Arusha.....................?

Nitawaambia wale masenior bachelor wa CDM wawe wanakuja hapo kupunguza stress
Wewe mjinga kila saa unawaza CHADEMA inaonyesha jinsi gani wanavyo kunyima usingizi....utakufa kwa kuwawaza CDM na ukicheza watakuoa mwaka huu...
 
Judith, unajua nimepa-Miss sana A-Town, hasa hapo Mata...... Baa, kuna Ugali wa Muhogo mtamu ile mbaya............... na wahudumu wa hapo ni wakarimu kweli..............

ugali wa muhogo hata mimi naupenda sana mpendwa, hasa ukiandaliwa pamoja na sato wa ziwa victoria, usiombe!!. nikijaaliwa kufika A-town, basi itabidi niwasiliane nanyi wenyeji mnipeleke hapo masaburi bar, ikibidi nami nijonee hayo masaburi yanayotisha. hahaaaa

ukisikia mme wako yuko ****** bar nenda haraka ukalinde mali yako

duh, basi mahali, hapo panatisha mpendwa, nafikiri hata watoto hawapaswi kutembelea hapo!!

Usimtishe bana.............unajua wana nidhamu sana, mpaka uwababaikie, kama ume-cool na viroba vyako, au kama unapiga Gomba wala hawasumbui...........

November natia timu chalii yangu, nitakutafuta tukale ndafu kwa Morombooo............. mbona hujanijibu kuhusu KWA SIFAA.........!?

mama weee, viroba na gomba tena????

Mungu apishilie mbali hivyo vitu!
 
wakuu bar hiyo inaitwa Arusha night park aka ****** bar maana hapo maids wote wanamatako
 
nyama iliyosagwa na kuwekwa kwenye utumbo mpana wa ngombe halafu inabanikwa.hii kitu tamu ile mbaya!

Hıı kıtu hapa Dar tunaııta "BOMU" kıtu ımetulıa sana.
Kunasıku nılıagıza bom moja ndızı choma2, aısee nılıjuta kuthalıwa make tumbo ılıjaa ndee nıkajfanya nacatalyze kwa value kubwa moja, aaa wapı koo lıkawa ndo kwaaanza lınafunguka na tumbo lımefula, nıkatop-up na glandz kubwa moja! Kıtu hola aaa nıkaona ısıwe tabu baaaas!
 
attachment.php
attachment.php
 
ni Arusha Night Park.....aahhahahahaa....ni pazuri sana pale! sikosi kila weekend! Ma.....ta....Baaa!!!!
 
nyama iliyosagwa na kuwekwa kwenye utumbo mpana wa ngombe halafu inabanikwa.hii kitu tamu ile mbaya!
Hii kitu safi sana,nikifika Nairobi ilikuwa lazima niipate hii na tusker baridi.Kumbe ishafika Arachuga?Safi sana nitatembelea hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom