Mnaotumia barabara ya mandela road toka buguruni sheli hadi..............

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Mnaotumia barabara ya mandela road toka buguruni sheli hadi njia panda ya Tabata jaribuni kutumia njia mbadala kwani njia ina foleni ambalo halitembei. ni kwamba daraja la matumbi lilibomoka upande mmoja kwahiyo magari yanatumia njia moja kwa pale darajani na kuna malori yameharibikia hapo na kuna magari yame force njia yamekuna uso kwa uso kwahiyo hayatembei na kurudi nyuma haiwezekani mpaka hayo malori yakamilike.

nawakilisha
 
Ndio michuzi katuaribu lakini kwenye mambo ya userious tuwe pia serious

Barabara ya mandera ROAD??????
(Utakuja kuongea mbele za watu watakuchekaaaa)

Yani kuna watu mpaka mida hii hawajui neno "BEEP" yani hao utasikia eti "NIDEEP" nisave namba yako
 
Back
Top Bottom