Mnaosubiri Kuingia JKT

Tulieni sisi tulipewa ronja kipindi hicho ilikuwa mwezi wa 2 tukajipa moyo dadeeki ngoma ilikuja tiki mwezi wa 6 tena mwishoni!!tukapiga maisha hadi mwezi wa nane ndo ikafunguliwa intro!! Nyie vimiezi viwili tuu mnaingiwa na miteeroo!!tulieni jeshi halikaririki kila mda azuea!!
 
Jamani samahanini nipo nje ya mada,
Nauliza hawa SUMA JKT ni kina nani?
Na wanadili hasa na nini?

Maana naona walinzi wamevaa nguo zimeandikwa suma jkt guard, sasa nashindwa kuelewa kabisa.
 
Jamani samahanini nipo nje ya mada,
Nauliza hawa SUMA JKT ni kina nani?
Na wanadili hasa na nini?

Maana naona walinzi wamevaa nguo zimeandikwa suma jkt guard, sasa nashindwa kuelewa kabisa.
ni kampuni ya ulinzi inayochukua vijana jkt haswa wale wanaokua wanaachwa lakn c kwa sabb ya magonjwa ila elimu mfano darasa 7
 
Jamani samahanini nipo nje ya mada,
Nauliza hawa SUMA JKT ni kina nani?
Na wanadili hasa na nini?

Maana naona walinzi wamevaa nguo zimeandikwa suma jkt guard, sasa nashindwa kuelewa kabisa.
SUMA maana yake ni
S-shirika
U-uzalishaji
MA-mali kwahyo SUMA jkt ni shirika la uzalishaji mali la jeshi la kujenga taifa mfano ndo kuna ulinzi,ufundi n.K
 
muda umefika wa kuingia vikosini, wazanzibar wamepewa taarifa wanaingia tar 29 mwez huu ,wengne wataanza kupewa taarifa wk hii
 
Endeleeni kuwa wavumilivu maana sio leo mtaingia jkt mtasubiri sana tena sio kidogo lakini mnatengenezewa njia nzuri ya ajira badae,
 
Mwezi wa kumi ule unakuja,waliopo oljoro kama hawajaondoka mjue vikosini wa kumi na moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom