Mnaopenda vya bure sasa dawa yenu inatokota!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Wale wote mnaopenda vitu vya chee sasa mtakoma. Wenyewe wamewashtukieni!

July 7, 2011 8:39 AM PDT

Top ISPs agree to become copyright cops
by Greg Sandoval

Some of the top ISPs, including Comcast, Cablevision, Verizon, and Time Warner Cable, have officially agreed to step up efforts to protect the rights of copyright owners.

mitch-bainwol-riaa_270x179.jpg

Mitch Bainwol, CEO of the Recording Industry Association of America, in a file photo.
(Credit: Declan McCullagh/CNET)


"Leaders from the movie, television, music and Internet service provider communities today announced a landmark agreement on a common framework for 'Copyright Alerts,'" the parties said today in a statement. Copyright Alerts "will educate and notify Internet subscribers when their Internet service accounts possibly are being misused for online content theft. This voluntary landmark collaboration will educate subscribers about content theft on their Internet accounts, benefiting consumers and copyright holders alike."

Many file-sharing fans and proponents of free content are to sure mock the assertion that this is a benefit to them.

This agreement hands the music and film sectors a big new stick with which to fight online illegal downloading of copyrighted works. The deal doesn't affect illegal streaming services. The film, music, and software sectors claim that online piracy costs the U.S. economy billions in lost revenue and jobs.

Soma zaidi hapa
 
Kupigana na uharamia (piracy) ni suala gumu sana, kwa sababu linashirikisha makundi makubwa ya watu wenye pesa. Hali kadhalika kwa nchi kama za Afrika na baadhi ya nchi za Asia ambako mtandao unatumika kiholela sana, kuzuia uharamia katika muziki na filamu ni suala gumu. Mfano hapa kwetu, TCRA kama watchdog ya mawasiliano naona ipo kwa ajili ya kutoa vibali vya matumizi ya masafa tu, sijapata kusikia hata siku moja wamemshikisha adabu mtu kwa kutumia vibaya mtandao. Hata ukiwauliza leo kwamba watumiaji wa mtandao ni wangapi, sidhani kama TCRA wana takwimu sahihi, ndio sababu hata bei za matumizi ya mtandao kila mtu anajipangia. Hii yote huchangia ugumu wa kudhibiti uharamia.
 
Back
Top Bottom