Mnaonaje wadau ofice ikiwa na kitu hiki

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
hapa ndo kazi zitafanyika vizuri na kwa wale wa dsm na foleni hizi wa2 tutakuwa tunarudi majumbani saa3 ili kukwepa foleni

kes.jpg
 
bora iwe nchi ya walevi ukianza kufikiria matatizo ya nchi hii na mambo wanayofanya viongozi we2 na uwoga wa watanzania unaweza ukaua mtu bureee bora upate ki2 roho inapenda
 
Siungi mkono hata kidogo. Mungu Baba nakuomba utupe nguvu za kuyashinda haya majaribu yanayotolewa hapa jamvini kama hili la sasa, utusaidie hata tukiona picha tu ya hiyo chupa tupate kichefuchefu na maoni yote yawe kwa ajili ya utukufu wako, Ameni
 
Amen to this!!!
 
Back
Top Bottom